Tokeo la Sasa
ISSN Chapishi: 2707-3467 | ISSN ya Mtandaoni: 2707-3475
DOI ya Jarida: https://doi.org/10.37284/2707-3475
Maendeleo ya Kiswahili kama lugha ni muhimu katika kukuza na kuhifadhi utamaduni wa kiasili, maarifa na dini katika mikoa inayozungumza Kiswahili barani Afrika. Jarida hili linalokaguliwa na wanarika kwa hivyo linachapisha nakala za Kiswahili tu. Nakala zinazoweza kuchapishwa chini ya jarida hili ni nakala kutoka kwa aina zote za maarifa isipokuwa zimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili. Waandishi wanaowasilisha kwa jarida hili wanaweza kuamua kutafsiri nakala zao kwa Kiingereza na kuchapisha tafsiri katika majarida mengine yoyote tulio nayo.
PUBLISHER:
East African Nature and Science Organization,
P. O. Box 3975 - 00100, Nairobi, Kenya.
Makala
-
Uhakiki wa Mandhari katika Riwaya Teule za Kiswahili: Tumaini na Kala Tufaha
-
Masuala Ibuka Yanayowasilishwa katika Vikatuni vya Ubongo Kids
-
Athari za Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia Kwenye Ngano za Jamii ya Wasukuma
-
Ujenzi wa Uadiliswhaji wa Watoto katika Jamii: Mifano: Riwaya ya Mshale wa Matumaini na Cheupe na Cheusi
-
Sababu za Kuwepo kwa Mapengo katika Violezofaridi katika Lugha ya Kiswahili
-
Jinsi Ubaguzi Wa Kijinsia Huendelezwa kwa Kutumia Lugha ya Kikuyu na Kiswahili
-
Mtunzi kama Mtafsiri Anayeingilia Kati ya Tafsiri: Kifo Kisimani (1999) na Natala (2005)
-
Athari za Mabadiliko ya Majina ya Vituo vya Mabasi katika Mkoa wa Kigoma
-
Uchambuzi wa Stailikia za Ufupishaji katika Mtandao wa WhatsApp