Uhusiano wa Kifahiwa katika Leksia za Kîîtharaka: Mtazamo wa Leksika Pragmatiki

  • Kimathi Mwembu Chuo Kikuu cha Tharaka
  • Allan Mugambi, PhD Chuo Kikuu cha Chuka
  • Timothy Kinoti M’Ngaruthi, PhD Chuo Kikuu cha Embu
Keywords: Kîîtharaka, Leksia, Uhusiano Wa Kifahiwa, Ubadili Maana, Leksika-Pragmantiki
Sambaza Makala:

Ikisiri

Makala haya yanalenga kubainisha jinsi fahiwa zinavyohusiana katika leksia za Kîîtharaka kwa kuzingatia mtazamo wa leksika pragmatiki.Ubadili maana katika leksia mbalimbali husababisha kutokea uhusiano wa kifahiwa katika leksia moja, na kati ya leksia mbili au zaidi. Katika makala haya, ubadili maana unaozua uhusiano wa kifahiwa katika leksia za Kîîtharaka umeangaziwa. Data ya kimsingi kutoka wazungumzaji asilia wa Kîîtharaka, imechanganuliwa kwa kutumia nadharia ya Leksika-Pragmantiki. Matokeo yanabainisha kwamba ubadili maana ukitokea katika leksia za Kîîtharaka, mahusiano ya kifahiwa yafuatayo hutokea: uhusiano wa kipolisemia, kihomnimia, kisinonimia, kihaiponimia, kimeronimu na kiantonimu. Makala haya yanahitimisha kwamba, maana ya leksia huwa na uhusiano na maana nyingine ya leksia iyo hiyo au leksia nyingine tofauti. Pia, kuna mwingiliano baina ya maana kimatumizi na maana kimuktadha ya leksia.

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Bennett, R.P. (1977). Dahl’sLaw andtheThagicu. InAfrican LanguageStudies, Vol. VII, pp. 127-159.

Bennett, R.P. (1985). DhaagicwLifeStages: A StudyinParadigmaticReconstruction. I HistoryinAfrica, Vol 12 pp. 11-28.

Bible Translation & Literacy (2010). KîîrîkanîroKîîyerû. Nairobi: Bible Translation andLiteracy (E.A)

Cruse, D.A. (2004). MeaninginLanguage: AnIntroductiontoSemanticsandPragmatics. 2ndedn. Oxford: oxford University Press.

Crystal, D. (2010). The Cambridge Encyclopediaofthe English Language, 3rded. Cambridge: Cambridge University Press.

Geeraerts, D. (2006). CognitiveLinguistics: BasicReadings. Berlin: JeanetteLittle&John Taylor.

Gichuru, T. M. (2020). Mabadiliko ya Maana za Leksia za Kiswahili: Mtazamo Linganishi wa Kale na Kisasa. Tasnifu ya Uzamifu (Haijachapishwa), Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Guthrie, M. (1970). The Classificationof Bantu Languages, London: International African Institute.

Habwe, J. &Karanja, P. (2004). Misingi ya Sarufi ya Kiswahili. Nairobi: Phoenix Publishers.

Hurford, J.R. (2007). Semantics: A Coursebook. 2ndedn. Cambridge: Cambridge University Press.

Mwangi, P.,&Mukhwana, A. (2011). Isimujamii. Nairobi: Focus Publishers Ltd.

Kipacha, A. (2005). Utangulizi wa Lugha na Isimu. OSW 101. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. https://www.researchgate.net/publication ilidondolewa tarehe 20/2/2022.

Kreidler, E. W. (1998).IntroducingSemantics. London: Routledge.

Nasr, R. (1980). The EssentialofLinguisticsScience. Essex: Longman Group Ltd.

Ogutu, G. (2013). Athari za Sheng katika Dini ya Kikristo: Mtaa wa Umoja. Tasinifu ya Uzamili (Haijachapishwa). Chuo Kikuu cha Nairobi.

Omoke, J.N., Barasa, D.,&Basweti, N. (2018).Ekegusii Sense Relationsin a Lexical Pragmatic Theoritical approach. International Journal of Academics and Research, Vol 1:1 Pp 15-21

Rahmati, F. (2015). SemanticShift, Homonyms, Synonyms and Auto-antonyms. WalliaJournalVol 31 (53), pp.81-85.

Richards, J.C.,& Schmidt, R. (2002). Longman Dictionary of LanguageTeaching and Applied Linguistics. 3rdEdition. London: Pearson Education Limited.

Saeed, J. L. (2016). TheoriesofLexicalSemantics. Oxford: Oxford University Press.

Stringer, D. (2019). LexicalSemantics: Relativity and Transfer. Indiana: IGI Global Ltd.

Teufel, S. (2014). Lexical Semantics: Antonymy and Sentiment Detection. Cambridge: Cambridge University Press.

TUKI.(1990). Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha. Dar es Salaam: Educational Publishers and Distributers Ltd.

TUKI.(2004). Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Dar es Salaam: Educational Publishers and Distributers Ltd.

Winiharti, M. (2010). Sense Relations in Language Learning in Humaniora Vol.1 No.1 pp 100-106.

Tarehe ya Uchapishaji
29 September, 2022
Jinsi ya Kunukuu
Mwembu, K., Mugambi, A., & M’Ngaruthi, T. (2022). Uhusiano wa Kifahiwa katika Leksia za Kîîtharaka: Mtazamo wa Leksika Pragmatiki. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 5(1), 341-352. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.859