Ufungamanisho wa Fonolojiya Othografiya na Teknolojiya katika Kukiyand̪ika Upya Kiswahili Sanifu; Kujiokowa na Kuokowa Mustakabali wa Lahaja-Dadaze

  • Mohamed Karama, PhD Chuo Kikuu cha Kabianga
Keywords: KiSwahili, Fonolojiya, Usanifishaji, Othografiya, Teknolojiya, Jumuiya ya Afrika Mashariki
Sambaza Makala:

Ikisiri

Lahaja za kiAmu, kiMvit̪a zafa, na lahaja nyenginezo za kiSwahili yasemekana zishakufa. Makala haya yanaonesha kuwa usuli wa matatizo haya ni mapungufu ya juhud̪i za kukisanifisha kiSwahili wakat̪i wa ukoloni. Vigezo va uwamilifu wa kut̪afaut̪isha maana, na kiwango cha matumizi wa saut̪i hiyo katika lugha, ni mambo yaliyopuuzwa na Kamati ya Lugha kwa sababu ya kut̪afut̪a unafuu wa kusanifisha. Tukifuwatʰa nadhariya-tʰetʰe ya Kina cha Othografiya, saut̪i hizi amilifu tumeziyonesha kuwa zachʰangiya katika kusoma maand̪ishi yaliyoand̪ikwa kwa sababu kiSwahili ni lugha yenye othografiya ya maonroni, yaani, kuna mnasaba wa moja kwa moja kati ya saut̪i na kiwakilishi chake kihati; kitamkwavo nrivo kiyand̪ikwavo. Kwengezeya, mfumuko wa TEKNOHAMA umeipa t̪ena, lugha ya kiSwahili, nafasi ya kufaid̪ika na saut̪i hizi kwa kutiya kila kʰitʰu katika nukt̪̪a ya kimahesabu hivo kurahisisha utambuzi wa saut̪i hizi na urahisi wa kuzitumiya katika masomi ya shuleni na kwenye t̪afsiri mashine ya makala ya kiSwahili. Ikawa nat̪ija ipatikanayo ni kukiokowa kiSanifu kut̪okana na kuziokowa lahaja dada zake. Lakini zaid̪i, ni kupatikana ut̪angamano wa lugha zot̪ʰe nchini Kenya na utambulisho muwafaka katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Abdulaziz, M. H. (1979). Muyaka: 19th century popular poetry. Kenya Literature Bureau.

Amour, A. K. (2008). Athari za nadharia na kanuni za uandishi wa matamshi ya baadhi ya maneno ya kiSwahili sanifu. Katika N. Ogechi, N. Shitemi, K. I. Simala, (wah.). (2008) Nadharia katika taaluma ya Kiswahili na lugha za Kiafrika (uk. 175-184). Moi University Press.

Bakari, M. (1985). The morphophonology of the Kenyan Swahili Dialects. Reimer.

BAKIZA, (2010). Kamusi la Kiswahili Fasaha. Oxford University Press.

Barwani, A. M. (1995). Tarjama ya al muntakhab katika tafsiri ya Qur'ani tukufu. Dar ul Fajri Islamy.

BBC (2020, November 2). Algorithm spots ‘covid cough’ inaudible to humans. Imesomwa: https://www.bbc.com/news/technology-54780460

Bigi, B., Péri, P., & Bertrand, R. (2012). Orthographic transcription: Which enrichment is required for phonetization?. The eighth international conference on Language Resources and Evaluation, May 2012, Istanbul, Turkey. pp.1756-1763. hal-00983700

British Library (2020, September 2-3). How Should We Write Yorùbá? A Two-session Online Symposium on Yorùbá Orthography in the 21st Century. Organized by the British Library.

Centre for Advanced Studies of African Society (CASAS), (2012). A unified orthography for Bantu languages of Kenya. Monograph no. 249.

Mwita, C. L. (2007). Prenasalization and IPA. UCLA Working Papers in Phonetics 106, uk 58-67. Imesomwa: https://escholarship.org/uc/item/9d93t9t9

Chambers, J. K. & Trudgill, P. (2004). Dialectology (2nd edition). Cambridge University Press.

Chimerah, R. M. (1999). Kiswahili past present future horizons. Nairobi University Press.

Chimerah, R. M. (2020). My recommendations from the Mombasa deliberations. Stakeholders Validation of Languages Bill of Kenya 2015 Conference held at Pride inn Hotel, December 20, 2019.

Chiraghdin, S., & Mnyampala, M. (1977). Historia ya Kiswahili. Oxford University Press.

Clements, G. N., & Sylvester O. (2002). Explosives, implosives, and nonexplosives: The linguistic function of air pressure differences in stops. Laboratory Phonology 7. Mouton de Gruyter. pp. 299–350.

Crystal, D. (2003). Language death. Cambridge University Press.

Eastman, C. M. (1994). Tourism in Kenya and the marginalization of Swahili. Katika Annals of Tourism Research 22 (1), 172-185.

Gekonge, D. (2021, July 3). KICD Invites Applications For Editing 18 Grade 4 Course Books Of Indigenous Languages. Imesomwa: https://teacher.co.ke/kicd-invites-applications-for-editing-18-grade-4-course-books-of-indigenous-languages/ accessed 15/06/2022 9:50 am

Githinji, P., & Njoroge, M. (2017). Folklinguistic perceptions and attitudes towards Kenyan varieties of Swahili. Katika Swahili Forum 24, 62-84.

Janson, T. (2007). Bantu spirantisation as an areal change. Katika Africana Linguistica 13, 79-116. doi: https://doi.org/10.3406/aflin.2007.972

Hayward, K. M., Omar, Y. A., & Goesche, M. (1989). Dental and alveolar Stops in Kimvita Swahili: An electropalatographic study. Katika African Languages and Cultures, 2 (1) 51-72. Imesomwa http://www.jstor.com/stable/1771705

Karanja, P. N. (2012). Kiswahili dialects endangered: The case of Kiamu and Kimvita. Katika International Journal of Humanities and Social Science 2 (17), 95-117.

Katz, L., & Frost, R. (1992). The reading process is different for different orthographies: The orthographic depth hypothesis. Katika Haskins Laboratories Status Report on Speech Research. SR- 111/112, 147-160.

Kenya National Bureau of Statistics (2009). 2009 Kenya population and housing census: Enumarator’s instructions manual. Nairobi.

Khalid, A. (1977). The liberation of Swahili from European appropriation. East africa Literature Bureau.

Krapf, L. (1882). A dictionary of Suahili language. Trubner & Co.

Lass, R. (1984). Phonology: An introduction to basic concepts. Cambridge University Press.

Lodhi, A. (2003). Aspiration in swahili adjectives and verbs. Katika Africa and Asia, 3, 155-160.

Lodhi, A. (h.t). Notes on Swahili phonology. Hazina ya maktaba yake binafsi, Uppsala.

Massamba, D. P. B., Kihore, Y. M., & Msanjila, Y. P. (2004). Fonolojia ya Kiswahili sanifu (FOKISA) sekondari na vyuo. TUKI.

Mazrui, A. (2007). Swahili beyond boundaries: Literature, language, and identity. Ohio University Press.

Mazrui, A. M. (1981). Acceptability in a planned standard: The case of Swahili in Kenya. Tasnifu ya Uzamifu (Haijachapishwa). Chuwo Kikuu cha Stanford, Stanford.

Mazrui, A., & Chimerah, R. M. (2019). Kuwasilisha ujumbe wa kidini: Baina ya kipwani, kibara na “kipwara”. Makala yaliyowasilishwa katika 32nd Swahili Colloquium yenye kauli mbiyu Pwani na Bara Coast and Mainland, Unversitat Bayreuth, Ujarumani.

Mbaabu, I. (1985). New horizons in Kiswahili: A synthesis in developments, research and literature. Kenya literature bureau.

wa Mberia, K. (2016). Mother tongue as media of instruction: The case of Kenya. Katika The University of Nairobi Journal of Language and Linguistics, 5, 46-59.

Mgullu, R. S. (1999). Mtalaa wa isimu fonetiki, fonolojia na mofolojia ya Kiswahili. Longhorn Publishers.

Milroy, J. & Milroy, L. (1999). Authoriy in language: investigating Standard English (3rd edition). Routledge & Kegan Paul.

Mkude, D. J. (2010). Mtawanyiko wa lahaja za Kiswahili. Katika Lugha ya Kiswahili. TUKI (3rd edition), uk. 65-88.

Mose, P. N. (2017). Language-in-education policy in Kenya: Intention, interpretation, implementation. Katika Nordic Journal of African Studies 26 (3), 215-230.

Munyaya, E. J. (2019, Disemba 19-20). The contribution of KiSwahili in the implemenation of the mother tongue policy: A case study of Kilifi North sub-county, Kilifi County. Iliyowasilishwa katika Kongamano la Kimataifa la KiSwahili, Zanzibar.

Musau, P. M. (1994). Aspects of interphonology: The study of Kenyan learners of Swahili. Bayreuth African Studies.

wa Mutiso, K. (2005). Utenzi wa Hamziyyah. TUKI.

Mutambo, A. (2021, October 12). Uhuru at UN: Kenya says identity politics a ticking time bomb. Imesomwa:https://nation.africa/kenya/news/uhuru-at-un-kenya-says-identity-politics-a-ticking-time-bomb-3580204

Nurse, D. (1985). Dentality, areal features, and phonological change in northeastern Bantu. Studies in African Linguistics, 16 (3), 243-279.

Nurse, D. & Hinnebusch, T. J. (1993). Swahili and Sabaki: A linguistic history. University of California Press.

Olali, T. (2008). An english rendition of a classical Swahili poem. Sahel books Inc.

Polome, E. (1967). Swahili language handbook. Center for Applied Linguistics.

Sacleux, C. S. (1939). Dictionnaire Swahili-Francais. Institut d' Ethnologie.

Shariff, I. N. (1988). Tungo zetu: Msingi wa mashairi na tungo nyinginezo. The Red Sea Press.

Steere, E. (1919). A handbook of the Swahili language as spoken at Zanzibar. Society for Promoting Christian Knowledge.

Stigand, C. H. (1915). A grammar of dialectic changes in the KiSwahili language. Cambridge University Press.

Swaleh, R. H. (2017). Njeo, hali na dhamira katika kitenzi cha Kitikuu: Mtazamo wa uminimalisti. Tasnifu ya PhD (haijachapishwa). Pwani University, Kilifi.

Timammy, R. (2002). Mombasa Swahili women’s wedding songs: A stylistic analysis. Tasnifu ya PhD (Haijachapishwa), University of Nairobi, Nairobi.

TUKI (2013). Kamusi ya kiswahili sanifu. Oxford University Press.

UNESCO (h.t) Imesomwa: http://www.ibe.unesco.org/fileadmin/user_upload/Policy_Dialogue/48th_ICE/Press_Kit /Interview_Clementina_Eng13Nov.pdf

University of Cape Town (2022, June 6). KiSwahili as an agent of liberation, integration. Imesomwa: https://www.news.uct.ac.za/article/-2022-06-01-swahili-as-an-agent-of-liberation-integration

Whiteley, W. H. (1993). Swahili: The rise of a national language. Gregg Revivals.

Wikipedia.org (2022). https://en.wikipedia.org/wiki/IPA_pulmonic_consonant_chart_with_audio Ilisomwa 15/06/2022 9:00 asubuhi.

Tarehe ya Uchapishaji
29 Septemba, 2022
Jinsi ya Kunukuu
Karama, M. (2022). Ufungamanisho wa Fonolojiya Othografiya na Teknolojiya katika Kukiyand̪ika Upya Kiswahili Sanifu; Kujiokowa na Kuokowa Mustakabali wa Lahaja-Dadaze. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 5(1), 259-272. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.803