Matumizi ya Usohalisia wa Kihistografia katika Nyimbo Teule za Kisasa za Injili za Kikamba

  • Ambrose Ngesa Kang’e Chuo Kikuu cha Chuka
  • John M. Kobia Chuo Kikuu cha Chuka
  • Dorcas M. Musyimi Chuo Kikuu cha Chuka
Keywords: Matumizi, Usohalisia wa Kihistografia, Nyimbo za Kisasa, Injili
Sambaza Makala:

Ikisiri

Usohalisia ni kipengele muhimu kinachodhihirika katika tungo za kisasa za fasihi. Watunzi wa fasihi ya kisasa hutumia mtindo wa usohalisia kwa namna mbili kuu ambazo ni ujirejelezi wa mtunzi na usohalisia wa kihistografia. Makala haya yamefafanua jinsi usohalisia wa kihistografia ulivyotumika katika nyimbo teule za kisasa za injili za Kikamba. Nyimbo za kisasa za injili za Kikamba zimerejelewa ili kuwakilisha nyimbo za kisasa za injili zilizoimbwa kwa lugha yoyote nchini Kenya. Utanzu wa nyimbo za injili umeteuliwa kwa sababu kutoka miaka ya elfu mbili umedhihirisha mabadiliko si haba ya kuuwasilisha kwa hadhira bali na kuwa utanzu pendwa. Makala haya yametumia mtazamo wa kiusasaleo kuchanganua matini za nyimbo teule za kisasa za injili za Kikamba. Mtazamo wa kiusasaleo hushuku na kupinga mitazamo ya kijadi na kupendekeza mitindo mipya ya kuwasilisha tungo za fasihi ya kisasa. Kutokana na uchanganuzi, iligunduliwa kuwa matumizi ya mtindo wa usohalisia wa kihistografia yalidhihirika kwa namna kadhaa katika nyimbo za injili za kisasa za Kikamba zilizoteuliwa kuchunguzwa. Matumizi ya mtindo wa usohalisia yalidhihirika kupitia utumiaji wa mbinu mbalimbali ambazo zimefafanuliwa na makala haya

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Akuno, E. (2005). Understanding a National Culture through Music Education: The Kenyan Experience. African Musicology On-line, 1(2), 7-21.

Best, S. & Keller, D. (1991). The Postmodern Theory Critical Interrogations. London: Routledge.

Cahoon, L. (1996). From Modernism to Postmodernism: An Anthology Expanded. Wiley-Blackwell.

Chitando, E. (2000). Songs of Praise: Gospel Music in an African Context. In Exchange 29(4), 296-310.

Cockrell, D. (1987). Of Gospel Hymns, Minstrel Shows, and Jubilee Singers: Towards Some Black South American Music. In American Music 5(4), 417-432.

D’haen, Theo L. (1995).Magical Realism. In: Spanish American Fiction. Hispania. 38 (2): Pp 187-192.

Gloag, K. (2012). Cambridge Introduction to Music Post-modernity in Music. Cambridge: Cambridge University Press.

Harvey, D. (1989). The Condition of Post-modernity. Massachusetts: Blackwell Publishers.

Hicks, S. (2004). Explaining Postmodernism: Skepticism and Socialism from Rousseau to Facault. Arizona: Sholargy Publishing.

Hutcheon, L. (1988). A Poetics of Postmodernism: History, Theory, Fiction. New York: Routledge.

Ingalls, M. M. (2010). Awesome in this place: Sound, space, and identity in contemporary North American evangelical worship. University of Pennsylvania.

Kidula, J. N. (1998). Sing and shine': religious popular music in Kenya (television, gospel music) (Doctoral dissertation, Dissertation, University of California, Los Angeles).

Kimugung, S. (2015). Mitindo Mamboleo ya Ubaadausasa katika Nyimbo Teule za Jamii ya Kikalenjin za Karne ya Ishirini na Moja. Tasnifu ya uzamili Chuo Kikuu cha Moi. Eldoret: Kenya (Haijachapishwa).

King’ei, G., & Kisovi, C. (2005). Msingi wa Fasihi Simulizi. Nairobi: Kenya Literature Bureau.

Kramer, J. (1996). Postmodern Concepts of Musical Time. New York: Routledge.

Lewis, B. (2001). Postmodernism and Literature. In: The Routledge Companion to Postmodernism. Sim S. (Ed.), London and New York: Routledge. Pp 121-133.

Lyotard, (1984). The Postmodern Condition: A Report on Knowledge. Manchester: Manchester University Press.

Malone, B. (1984). Music, Religious of the Protestant South. In: Samuel, S. Hill (ed.). Mercer University Press. Pp. 529.

Malpas, S. (2005).The Postmodern: The New Critical Idiom. London: Routledge.

McHale, B. (1987). Postmordern Fiction. Great Britain: Mithuen & Co. Ltd.

Muathe, H. M. (2012). A Relevance Theoretical Analysis of the Communicative Effect in Selected Contemporary Kikamba Gospel Music (Doctoral dissertation).

Mugenda, O. & Mugenda, A. (2003). Research Methods, Qualitative and Quantitative Approaches. Nairobi: ACT

Mwendwa, R. M. (2020). A Lexical Pragmatic Approach to the Study of Metaphorical Expressions Used in Selected Kikamba Gospel Songs (Doctoral dissertation, University of Nairobi).

Nicol, B. (2009). The Cambridge Introduction to Postmodernist Fiction. New York: Cambridge University Press.

Nyairo, J. (2008). Kenya Gospel Soundtracks: Crossing Boundaries, Mapping Audiences. In Journal of African Cultural Studies, 20(1), 71-83.

Omojola, O. (1987). Compositional Style and African Identity: A Study of Modern Nigerian Art and Music. A PhD Thesis University of Leicester. Leicester: (Unpublished).

Ritgerotil, B. (2006). Postmodernism and The Simposons: Intertextuality, Hyperreality and Critique of Metanarratives. London: Routledge.

Taylor, V. & Winquist, C. (2002). Encyclopedia of Postmodernism. London: Routledge.

Tenna, M. (2019). Postmodernism in Selected Ethiopian Diasporic Novels in English. A PhD Thesis, Addis Ababa University (Unpublished).

Wamitila, K. (2008). Kichocheo cha Fasihi Simulizi na Andishi. Nairobi: Focus Publishing Ltd.

Wise, S. & Stanley, L. (2002) Breaking Out Again: Feminist Ontology and Epistemology (2nd Edition). London & New York: Routledge

Tarehe ya Uchapishaji
28 December, 2023
Jinsi ya Kunukuu
Kang’e, A., Kobia, J., & Musyimi, D. (2023). Matumizi ya Usohalisia wa Kihistografia katika Nyimbo Teule za Kisasa za Injili za Kikamba. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 6(2), 84-97. https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1663