“Gari ni Testing”: Uhalalishaji wa Mahusiano ya Kingono Miongoni mwa Wazulufu Nchini Kenya

  • Raphael Mwaura Gacheiya, PhD Chuo Kikuu cha Egerton
  • Jonathan Furaha Chai, PhD Chuo Kikuu cha Pwani
  • Catherine Wawasi Kitetu, PhD Chuo Kikuu cha Egerton
Keywords: Wazulufu, Peo za Kimazungumzo, Kujihini, Ubikira, Ujinsia
Sambaza Makala:

Ikisiri

“My friend always tells me of how good it is... how sweet it is... when will I know these things?”

Ulimwenguni, tafiti kuhusu tabia za wazulufu zimebainisha kuwa wazulufu hushiriki ngono za mapema licha ya ujamianaji kabla ya ndoa kukashifiwa. Imegunduliwa kuwa utamaduni, matumizi ya lugha na miktadha ya kijamii huwa na nafasi muhimu katika kuelewa na kuthibiti mahusiano na ushiriki wa ngono. Hata hivyo, ni kweli kuwa kutokana na mabadiliko ya jamii kiuchumi, kisiasa na kijamii, tamaduni hizi zimeasiwa na kupelekea itikadi ya kujihini na ubikira kutozingatiwa na wazulufu. Makala haya yanalenga kuangazia jinsi wazulufu kwa kuegemea peo za kimazungumzo wanavyohalalisha ngono za mapema miongoni mwao. Hili litaafikiwa kupitia Nadharia ya Uchanganuzi wa Peo kama ilivyoasisiwa na E. Goffman mwaka wa 1974. Data inatokana na mazungumzo katika vikundi kiini miongoni mwa wazulufu katika shule za upili nchini Kenya. Kwa kutumia nadharia ya uchanganuzi peo, inabainika kuwa wazulufu huhalalisha tabia za kujamiana na ngono za kabla ya ndoa kupitia  peo nne za mazungumzo: upeo wa udharura, upeo wa kujihini, upeo wa mamlaka na upeo wa uanishi na utambulisho. Peo hizi za mazungumzo zaweza kuwa kiingilio muhimu cha kuwaelewa wazulufu na kuunda mbinu na sera mwafaka za kukabiliana na changamoto zinazowakumba

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Aggleton, P., & Warwick, I. (1997). Young People, Sexuality, HIV and AIDS Education. Kwenye L. (. Sherr, AIDS and Adolesescents. Netherlands: Harwood Academic Publishers.

Centres for Disease Control and Prevention. (2009). Youth risk behavior surveillance-United States. New York: CDC.

Dennison, R., & Russell, S. T. (2005). Positive Perspectives on Adolescent Sexuality: Contributions of the National Longitudinal Study of Adolescent Health. Sexuality Research and Social Policy 2 (4), 54-59.

Dixon-Mueller, R. (2009). How Young Is “Too Young”? Comparative Perspectives on Adolescent Sexual, Marital, and Reproductive Transitions. Studies in family planning. 39. 247-62. 10.1111/j.1728-4465.2008.00173.x.

Entman, R. M. (2004). Framing: Toward Clarification of a Fractured Paradigm. Journal of Communication 43 (4), 51-80.

Forrest, S. (2000). ‘Big and tough': Boys learning about sexuality and manhood. Sexual and Relationship Therapy, 15(3), 247-261.

French, D. C., & Dishion, T. J. (2003). Predictors of early initiation of sexual intercourse among high-risk adolescents. Journal of Early Adolescence, 23, 295-315.

Goffman, E. (1974). Frame Analysis: An Essay on the Organization of Experience. New York: Harper and Row.

Kaufman, S., Michael, E., & Deborah, S. (2003). "Frames, Framing and Reframing." Beyond Intractability. Boulder: University of Colorado.

Kelly, M. F. (2007). Discursive Framing of Teenage Sexuality: Virginity Loss on "Teen Drama" Television Programs. Journal of Sex Research, 479-489. From American Sociological Association: http://www.allacademic.com/metal/p

KNBS, MOH, NACC, KMRI, NCPD, DHS, & ICF. (December Monday, 2014). Kenya Demographic and Health Survey 2014. Rockville Maryland, USA: USAID. From http://dhsprogram.com/pubs/pdf/FR308/FR308.pdf/

Lesko, N. (2001). Act Your Age! A Cultural Construction of Adolescence. New York: Routledge Falmer.

Ogechi, N. (2005). The Language of Sex and HIV/AIDS Among. Stichpoben.Wiener Zeitschrift fur Kritische Aftikastudien, 9 (5), 123-149.

Rice, F. (2001). Human Development: A life-span approach. (4th ed.). Upper Saddle River, New Jersey: Prentice-Hall.

Tannen, D. (1979). What's in a frame? Surface Evidence of Underlying Expectations. In R. (Freedle, New Dimensions in Discourse Processes (kur. 137-181). Norwood, NJ: Albex.

Van Dijk, T. A. (2006). Discourse and Manipulation. Discourse and Society, 359-383.

Ward, L. (2004). And TV Makes three: Comparing Contributions of Parents, Peers and the Media to Sexual Socialization, In A. Merriwether, & L. M Ward (Eds), From Attitudes to Behaviour: Exploring the Dynamics of Sexual Socialization. Baltimore: MD.

Weinstein, E., & Rosen, E. (1991). The Development of Adolescent Sexual Intimacy: Implications for Counselling. Journal of Adolescence, 26, 331- 340.

World Health Organization. (2011). Youth and Health Risks. Geneva: WHO.

Zimmer-Gembeck, M. J., & Helfand, M. (2008). Ten years of longitudinal research on US adolescent sexual behavior: Developmental correlates of sexual intercourse, and the importance of age, gender and ethnic background. Developmental review, 28(2), 153-224.

Tarehe ya Uchapishaji
7 October, 2022
Jinsi ya Kunukuu
Gacheiya, R., Chai, J., & Kitetu, C. (2022). “Gari ni Testing”: Uhalalishaji wa Mahusiano ya Kingono Miongoni mwa Wazulufu Nchini Kenya. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 5(1), 388-398. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.878