Uhakiki wa Nafasi ya TEKNOHAMA katika Kukuza Maudhui katika Tamthilia ya Kigogo

  • Jackson Ndung’u Mwangi, PhD Chuo Kikuu cha KCA
Keywords: TEKNOHAMA, Mtindo, Maudhui, Utandawazi
Sambaza Makala:

Ikisiri

Fasihi ni zao la jamii na hubadilika kila uchao. Uwakilishi wa suala la TEKNOHAMA katika tamthilia za kisasa umechukua mkondo mpya. Hii ni kwa sababu, kutokana na jinsi dunia inavyobadilika ndivyo masuala ya kiteknolojia pia yanavyoathiri fasihi ya sasa na kuipa mguso na taathira mpya. Licha ya uwakilishi wa TEKNOHAMA kuwa na umuhimu katika kukuza fani na maudhui katika fasihi, mchango wake katika tamthilia ya Kigogo haujafanyiwa utafiti, suala linalomchochea mtafiti kulitafiti. Lengo kuu la utafiti huu ni kutathmini mchango wa TEKNOHAMA katika kukuza maudhui katika tamthilia ya Kigogo ya Pauline Kea (2016). Utafiti huu unaongozwa na Nadharia ya Uhalisia. Uteuzi wa sampuli utafanywa kimakusudi na utafiti wenyewe ni wa muundo wa kiudhamano. Mtafiti atasoma makala mbali mbali kuhusiana na mada na kisha kuichanganua data kwa njia ya kimaelezo

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Alomo, O. S. (2016) Uwakilishi wa Utandawazi katika Riwaya Mpya ya Kiswahili iliyoandikwa na Said, A. Mohamed na Wadi, K. Wamitila. Tasnifu ya M.A. Chuo Kikuu cha Egerton.

Gikambi, P. H. (2015) Teknolojia ya Kiswahili katika Utafiti wa Kiswahili: Kifani cha mradi Salama. Tasnifu ya M.A. Chuo Kikuu cha Nairobi.

Kamau, S. N. (2005) Matumizi ya Kiswahili katika Tarakilishi. Tasnifu ya M.A. Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Kea, P. (2016) Kigogo. Story Moja Publishers. Nairobi, Kenya.

Leech, G. na Short, M. (1981) Style in Fiction. A Linguistic Introduction to English Fiction Prose. England: Longman Group Limited.

Leech, G. (1969) A linguistic Guide to English Poetry. London: Longman Group. Lodge, D. (1972) Mh 20th Century Literary Criticism. London: Longman Group.

Lodge, D. (1972) Mh 20th Century Literary Criticism. London: Longman Group.

Lukacs, G. (1963) The Meaning of Contemporary Realism. London: Merlin Publishers.

Moureen, N. M. (2015) Masuala Ibuka katika Riwaya za Kisasa: Kidagaa Kimemwozea na Mhanga wa Nafsi Yangu. Tasnifu ya M.A. Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Mrikaria, E. S. (2007) Fasihi Simulizi na Teknolojia Mpya. Swahili Forum 14 (2007) :197- 206Wales, K. (1991) Dictionary of stylistics. New York: London Group.

Wellek, R. na Werren, A. (1973) Theory of Literature. Harmondswort: Penguin Books Limited.

Tarehe ya Uchapishaji
29 September, 2022
Jinsi ya Kunukuu
Mwangi, J. (2022). Uhakiki wa Nafasi ya TEKNOHAMA katika Kukuza Maudhui katika Tamthilia ya Kigogo. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 5(1), 124-130. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.671