Kiswahili katika TEHAMA: Tafsiri kama Daraja la Upatikanaji wa Maarifa

  • Raphael Mwaura Gacheiya Chuo Kikuu cha Egerton
Keywords: TEHAMA, Istilahi Bunifu, Ufikiaji wa Maarifa, Dijitali, Ujumuishaji
Sambaza Makala:

Ikisiri

Katika enzi ya kidijitali, tafsiri ya Kiswahili inachukua nafasi muhimu katika kuwezesha upatikanaji wa maarifa kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). Makala hii inajadili jinsi tafsiri ya Kiswahili inavyotumika kama daraja kati ya watumiaji na maarifa ya kidijitali, kwa kutumia Nadharia ya Ufikiaji wa Maarifa na Nadharia ya Mawasiliano katika Tafsiri. Kwa kutumia mbinu ya uchambuzi wa maudhui na mahojiano ya kina na wataalamu wa lugha, TEHAMA, na watumiaji wa majukwaa ya kidijitali, ilibainika kuwa tafsiri ya Kiswahili hairahisishi tu mawasiliano, bali pia huchochea usawa wa maarifa, ukuzaji wa lugha katika nyanja za kiteknolojia, na ujumuishaji wa jamii katika maendeleo ya kidijitali. Hata hivyo, changamoto kama ukosefu wa istilahi sanifu na ushirikiano mdogo kati ya wataalamu wa lugha na teknolojia huathiri ubora wa tafsiri. Makala inapendekeza uwekezaji katika tafsiri bora, maendeleo ya istilahi bunifu, na ushirikiano wa kitaaluma ili kuhakikisha Kiswahili kinapata nafasi endelevu na thabiti katika mazingira ya TEHAMA

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Banda, F. (2009). Critical perspectives on language planning and policy in Africa: Accounting for the notion of multilingualism. Stellenbosch Papers in Linguistics, 38, 1–14. https://doi.org/10.5842/38-0-52

Bariki, H. (2007). Language, media and ideology in Tanzania: A historical perspective. Journal of African Cultural Studies, 19(2), 123–135. https://doi.org/10.1080/13696810701717053

Castells, M. (2010). The rise of the network society (2nd ed.). Wiley-Blackwell.

Kapczynski, A. (2010). Access to knowledge: A conceptual genealogy. In G. Krikorian & A. Kapczynski (Eds.), Access to knowledge in the age of intellectual property (pp. 17–56). Zone Books.

Kembo-Sure. (2014). Challenges in developing African languages for science and technology. In A. Simpson (Ed.), Language and national identity in Africa (pp. 123–140). Oxford University Press.

Kembo-Sure. (2014). Language planning and policies in Africa: Challenges and prospects. Language Matters, 45(2), 123–140. https://doi.org/10.1080/10228195.2014.943401

Mpiranya, F. (2015). Bantu languages: A concise introduction. Routledge.

Mtenje, A., & Chavula, H. M. (2012). The use of African languages in ICT: A case study of Malawi. Southern African Linguistics and Applied Language Studies, 30(3), 311–326. https://doi.org/10.2989/16073614.2012.739744

Mtenje, A., & Chavula, J. (2012). The role of African languages in bridging the digital divide. In N. Alexander (Ed.), Language policy and national unity in Southern Africa (pp. 87–102). PRAESA.

Muganda, N. R. (2017). The politics of language and digital inclusion in East Africa. Kiswahili, 80, 45–60.

Newmark, P. (1988). A textbook of translation. Prentice Hall.

UNESCO. (2003). Language vitality and endangerment. International Expert Meeting on UNESCO Programme Safeguarding of Endangered Languages. Paris: UNESCO.

UNESCO. (2021). Understanding the impact of digital platforms on languages. https://unesdoc.unesco.org/

Warschaurer, M. (2003). Technology and social inclusion: Rethinking the digital divide. MIT Press.

Tarehe ya Uchapishaji
21 October, 2025
Jinsi ya Kunukuu
Gacheiya, R. (2025). Kiswahili katika TEHAMA: Tafsiri kama Daraja la Upatikanaji wa Maarifa. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 8(2), 425-437. https://doi.org/10.37284/jammk.8.2.3865