Itikadi Katika Tamthilia za Kifo Kisimani (2001) na Maua Kwenye Jua la Asubuhi (2004)

  • Minyade Sheril Mugaduka Chuo Kikuu cha Kenyatta
  • Jessee Murithi Chuo Kikuu cha Kenyatta
Keywords: Itikadi, umwinyi, Usemi, Ubepari, Uchanganuzi Tahakiki Usemi
Sambaza Makala:

Ikisiri

Itikadi ni mawazo na fikra zinazohalalisha masuala katika kijamii. Fikra hizi huhalalisha mamlaka ya kisiasa na seti za matendo zinazotekeleza vitendo. Itikadi hupata mamlaka na uhalali kwa hiari bila kutumia nguvu. Viongozi wa kisiasa na kidini hujiegemeza katika itikadi fulani ili kufanikisha malengo yao kwa sababu wanafahamu kuwa itikadi hiyo imekubalika na wanajamii. Mabadiliko hayawezi kuepukika, na jinsi sekta tofauti tofauti katika jamii zinapopitia mabadiliko ndivyo viongozi wanavyobadilisha mbinu za uongozi wao. Pia, historia inapobadilika ndivyo itikadi inavyobadilika katika jamii. Makala imeeleza dhana ya itikadi, imefafanua aina za itikadi na kuzibainisha katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001). Baadhi ya aina za itikadi ambazo zimebainishwa katika tamthilia teule ni pamoja na; itikadi ya dini, ukombozi, utawala, itikadi ya utamaduni, itikadi ya umwinyi na itikadi ya ubepari. Aina hizi zimebainishwa kutokana na usemi wa wahusika na muktadha mazungumzo. Utafiti wa makala hii umeongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Tahakiki Usemi (UTU) ilioasisiwa na Norman Fairclough (1989). Nadharia hii hueleza uhusiano uliopo kati ya matukio ya kisiasa, kiusemi, kiutamaduni, kimatini na kijamii. Huangazia athari ya itikadi katika matukio haya. Pia, huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio haya katika jamii

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Adler, N. (1997). International Dimensions of Organizational Behavior. (3rd ed). Ohio. South-Western College Publishing.

Althusser, L. (1981). Ideology and Ideological State Apparatuses. In Lenin and other Essays (B. Brewster, mtaf). London. New Left Books.

Amin, S. (2011). Ending the crisis of capitalism or ending capitalism? Nairobi. Pambazuka Press.

Anderson, P. (1979). Passages from Antiquity to Feudalism. London. New Left Books.

Cavanaugh, W. T. (2009). The Myth of Religious Violence. New York. Oxford University Press.

Cosmstock, W. R. (1984). Toward Open Definitions of Religion. Journal of the American Academy of Religion, 52(3), 499–517. http://www.jstor.org/stable/1464205 . Imepakuliwa tarehe 10 Juni 2022.

Davis, C. (1994). Religion and the Making of Society. New York: The Press Syndicate of Cambridge University.

Dijk, V. (1998). Ideology. A multidisciplinary Approach. London: Sage Publication.

Dijk, V. (1993). Principles of Critical Discourse Analysis in: Discourse and Society. London: Sage Publication.

Dijk, V. (2001). Multidisciplinary CDA: A Plea for Diversity in Ruth Wodak and Michael Meyer (eds) Methods of Critical Discourse Analysis, uk. 95–120. London: Sage.

Dijk, V. (2003). A Framework for Digital Divide Research. Electronic Journal of Communication, 12(1,2). https://research.utwente.nl/en/publications/a-framework-for-digital-divide-research.

Eagleton, T. (1991). Ideology: An introduction. London: Verso.

Eddins, B. B. (1972). Liberalism and Liberation. Social Theory and Practice, 2(1), uk 99–112. http://www.jstor.org/stable/23556671.

Fairclough, N. (1989). Language and Power. London. Longman Publishers.

Fairclough, N. (1995). Critical Discourse Analysis: Study of Language. London: Longman Publishers.

Fairclough, N. (2001). Language and Power (2nd ed.). New York. Routledge. https://doi.org/10.4324/9781315838250. Imepakuliwa tarehe 12 Machi 2022.

Fitzgerald, T. (2011). Religion and Politics in International Relations: The Modern Myth. London: Bloomsbury.

Gramsci, A, Bellamy. R. (ed). (1994). Pre-Prison Writings. London. Cambridge University Press.

Hilton, R. (1983). Feudal society. In T. Bottomore et, al. (Ed.). Dictionary of Marxist Thought. Oxford. Blackwell company.

Holton, R. J. (1985). The Transition from Feudalism to Capitalism. London. Macmillan Publishers

Kithaka wa Mberia. (2001). Kifo Kisimani. Nairobi. Marimba Publications.

Kithaka wa Mberia. (2004). Maua kwenye Jua la Asubuhi. Nairobi: Marimba Publications.

Kitto, I. B. (2019). Kuchunguza Siasa na Itikadi katika Tamthilia ya Nyota ya Mboya. [Tasnifu haijachapishwa. Chuo Kikuu cha Huria cha Tanzania].

Laclau, E. (1979). Politics and ideology in Marxist theory: Capitalism and Fascism. London: Lowe & Brydon Printers.

Larrain, J. (1979). The Concept of Ideology. London: Hutchinson &Co. Publications Ltd.

Marx, K. (1941). Pre-Capitalist Economic Formations. New York: International publishers.

Marx, K. & Engels, F. (1977). The German Ideology. London: Lawrence and Wishart.

Martin. E. J. (1986). Feudalism to Capitalisim. Peasant and Landlord in English Agrarian Development. London. Macmillan Press.

Mbatiah. J. & Jagongo. A. (2018). Good Governance, Development Expenditure and Economic Growth: Theoretical Review. International Journal of Management and Commerce Innovations Vol. 5, Issue 2, uk: (802-809), October 2017 - March 2018. Ilipakuliwa tarehe 21 Juni 2022.

Mbaabu, I. (1985). Utamaduni wa Waswahili: Kenya. Publishing and Book Marketing C.O ltd.

Montero, M. (2009). Methods for Liberation: Critical Consciousness in Action. In: Sonn, C., Montero, M. (eds) Psychology of Liberation. Peace Psychology Book Series. Springer, New York, NY. https://doi.org/10.1007/978-0-387-85784-8_4. Ilipakuliwa tarehe 25 Agosti, 2022.

Murithi, J. (2017). Itikadi katika Riwaya za Said Ahmed Mohamed. [Tasnifu Chuo Kikuu cha Kenyatta. haijachapishwa].

Muya, I. F. & Mwakagenda. H. (2013). Mwongozo wa Utawala Bora. Policy Forum. Toleo la Kwanza September 2013. Dar es Salaam. Tanzania Printers Limited. https://www.policyforum-tz.org/sites/default/files/UtawalaBora_0.pdf. Ilipakuliwa tarehe 25 Agosti 2022.

Njogu, K. (1997). Uhakiki Wa Riwaya Za Visiwani. Nairobi. University of Nairobi Press.

Nsereko, D. D. (1975). The Nature and Function of Marriage Gifts in Customary African Marriages. The American Journal of Comparative Law, 23(4), 682–704. https://doi.org/10.2307/839241. Ilipakuliwa tarehe 2 Novemba 2022.

Pavković, A. (2005). Terrorism as an instrument of liberation: a liberation ideology perspective. Katika G. Meggle (Ed.), Ethics of terrorism and counter-terrorism (uk. 245-260). OntosVerlag. https://doi.org/10.1515/9783110327496.253. Ilipakuliwa tarehe 2 November 2022.

Plamenatz, J. P. (1970). Ideology. London: Macmillan publishers.

Radocy, R., & Boyle, J. D. (1979). Psychological foundations of musical behavior. Illinois, United States of America, C. C. Thomas.

Schilbrack, K. (2013). What Isn’t Religion? The Journal of Religion, 93(3), 291–318. https://doi.org/10.1086/670276. Ilipakuliwa tarehe 12 Mei 2022.

Oatey, S. H. (2008) Culturally Speaking. Culture, Communication and Politeness Theory. 2nd edition. London: Continuum.

Tangus. C & Sang. P. (2020). Linking Governance to Performance of Government-funded Projects in Kenya. The International Journal of Business & Management. Vol 8 Issue 11 uk 45. November, 2020.

Wamitila, K. W. (2003). Kamusi Ya Fasihi: Istilahi na Nadharia. Nairobi: Focus Publications Ltd.

Wodak, R. (1997). Gender and Discourse. London: Sage Publications.

Tarehe ya Uchapishaji
14 April, 2023
Jinsi ya Kunukuu
Mugaduka, M., & Murithi, J. (2023). Itikadi Katika Tamthilia za Kifo Kisimani (2001) na Maua Kwenye Jua la Asubuhi (2004). Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 6(1), 84-100. https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1171