Ufungamano wa Itikadi na Propaganda katika Tamthilia za Maua Kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001)

  • Minyade Sheril Mugaduka Chuo Kikuu cha Kenyatta
  • Jessee Murithi Chuo Kikuu cha Kenyatta
Keywords: Itikadi, Propaganda, Usemi, Utamaduni, Uchanganuzi Tahakiki Usemi
Sambaza Makala:

Ikisiri

Itikadi ni fikra zote za maoni ya wanadamu kuhusu wanayoyasema na wanayoyafikiria kuhusu dini, sheria siasa, maadili na falsafa kama wanavyotaja Marx na Engels (1977). Propaganda hushawishi fikra za mtu kutenda jambo kwa namna fulani. Ni ushawishi unaoratibiwa kwa malengo fiche (Ellul, 1965). Tafiti zimefanywa katika kipengele cha itikadi. Murithi (2017) ametafitia itikadi katika riwaya za Said A. Mohamed; amechunguza itikadi katika riwaya teule kwa kuangazia maudhui, dhamira, wahusika mtindo na usemaji katika vipindi tofauti. Suala la itikadi pia limeshughulikiwa na Kitto (2019) ambaye ameonyesha ufungamano kati ya siasa na itikadi. Katika kipengele cha propaganda, Mlaga (2020) ameangazia uhusiano kati ya propaganda na fasihi. Ameonyesha mikakati na mbinu za kubainisha propaganda katika kazi za fasihi kwa kuegemea tungo teule za Muyaka, Mnyapala na Kezilahabi. Wahakiki wanachukulia propaganda na itikadi kama dhana moja. Utafiti haujafanywa unaobainisha itikadi na propaganda katika tamthilia za Kiswahili. Makala haya yanalenga kubainisha uhusiano uliopo kati ya itikadi na propaganda katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001). Makala yataonyesha kuwa hizi ni dhana mbili tofauti lakini zina uhusiano. Utafiti umeongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Tahakiki Usemi (UTU) ilioasisiwa na Norman Fairclough (1989). Ni nadharia ambayo hueleza uhusiano uliopo kati ya matukio ya kiusemi, kisiasa, kimatini, kijamii na kiutamaduni yanavyoathiriwa na itikadi. Huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio katika jamii

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Althusser, L. (1981). Ideology and Ideological State Apparatuses. In Lenin and other Essays. (B.Brewster, mtaf). London. New Left Books.

Bernays, E. L. (2005). Propaganda. New York. Brooklyn Publishers.

Dijk, V. (1998). Ideology. A multidisciplinary Approach. London: Sage Publication.

Dijk, V. (1993). Principles of Critical Discourse Analysis in: Discourse and Society. London: Sage Publication.

Dijk, V. (2001). Multidisciplinary CDA: A Plea for Diversity in Ruth Wodak and Michael Meyer (eds) Methods of Critical Discourse Analysis, pp. 95–120. London: Sage.

Dijk, V. (2003). A Framework for Digital Divide Research. Electronic Journal of Communication Vol 12 Number 1,2 (2002).

Eagleton, T. (1991). Ideology: An introduction. London: Verso.

Ellul, J. (1965). Propaganda: The Formation of Mens Attitudes. New York. Vintage Books.

Fairclough, N. (1989). Languange and Power. London. Longman Publishers.

Fairclough, N. (2001). Language and Power (2nd ed.). New York. Routledge. https://doi.org/10.4324/9781315838250. Accessed on 12th March 2022.

Fitzgerald, T. (2011). Religion and Politics in International Relations: The Modern Myth. London: Bloomsbury.

Gee, J. P. (2015). Social linguistics and Literacies; Ideiology in Discourse 5th Edition. New York. Routledge Publishers.

Gramsci, A. (1971). Selections from the Prison Notbooks of Antonio Gramsci. New York: International Publishers.

Gramsci, A, & Bellamy. R. (ed). (1994). Pre-Prison Writings. London. Cambridge University Press.

Hilton, R. (1983), Feudal society in T BOTTOMORE et, al. Dictionary of Marxist Thought.

Oxord. Blackwell company.

Jelimo, D. (2016). Matumizi ya mbinu za ufupishaji katika mitandao ya kijamii na athari zake katika lugha ya Kiswahili. Tasnifu. Kenyatta University.

Jowett, G. S., & Donell, V. (2006). Propaganda and Persution. London. Sage Publications Ltd.

Kilimes, O., & Marineli. M. (2018). Introduction: propaganda and political Discourse in the Xi Jinping Era. Journal of China Political Science. Vol 23, pp 313-322. July 2018. hhtps://doi.org/10.1007/11366-018-9566-3 accessed on 19th July 2022.

Kithaka wa Mberia. (2001). Kifo Kisimani. Nairobi. Marimba Publications.

Kithaka wa Mberia. (2004). Maua kwenye Jua la Asubuhi. Nairobi. Marimba Publications.

Kitto, I .B. (2019). Kuchunguza Siasa na Itikadi katika Tamthilia ya Nyota ya Mboya. Shahada ya uzamili Chuo Kikuu cha Huria cha Tanzania.

Larrain, J. (1979). The Concept of Ideology. London. Hutchinson &Co. Publications Ltd.

Marx, K., & Engels, F. (1977). The German Ideology. London: Lawrence and Wishart.

Martin, C. (2022). Discourse and ideology. A critique of the study of culture. New York. Bloomsbury Publishers.

Mbaabu, I. (1985). Utamaduni wa Waswahili: Kenya publishing and Book Marketing C.O ltd.

Mbatiah. J., & Jagongo. A. (2018). Good Governance, Development Expenditure and Economic Growth: Theoretical Review. International Journal of Management and Commerce Innovations ISSN 2348-7585 (Online) Vol. 5, Issue 2, pp: (802-809), Month: October 2017 - March 2018.

Mlaga, W. (2020). Uhusiano wa Propaganda na Fasihi: fasili Maendeleo na mdhihiriko wake. MULIKA Na 38. Chuo kikuu cha Rwanda.

Miriti, M. K. (2016). Figurative Language in Electoral Campaign Speeches: A Critical Discourse Analysis Approach. M.A Thesis. Kenyatta University.

Montero, M. (2009). Methods for Liberation: Critical Consciousness in Action. In: Sonn, C., Montero, M. (eds) Psychology of Liberation. Peace Psychology Book Series. Springer, New York, NY. https://doi.org/10.1007/978-0-387-85784-8_4

Murithi, J. (2017). Itikadi katika Riwaya za Said Ahmed Mohamed. Tasnifu Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Nsereko, D. D. (1975). The Nature and Function of Marriage Gifts in Customary African Marriages. The American Journal of Comparative Law, 23(4), 682–704. https://doi.org/10.2307/839241

Pavković, A. (2005). Terrorism as an instrument of liberation: a liberation ideology perspective. In G. Meggle (Ed.), Ethics of terrorism and counter-terrorism (pp. 245-260). (Philosophical research). Ontos Verlag. https://doi.org/10.1515/9783110327496.253

Prantkanis, A. & Aronson, E. (2001), Age of Propaganda: The everyday use and abuse of persuation. Santa Cruz. University of California.

Shabo. M. E (2008). Techniques of Propaganda and Persuation. U.S.A. Prestwick House, Inc.

Tangus. C, & Sang. P. (2020). Linking Governance to Performance of Government-funded Projects in Kenya. THE INTERNATIONAL JOURNAL OF BUSINESS & MANAGEMENT. Vol 8 Issue 11. November, 2020

Taylor, P. M. (2003). Munitions of the mind: A History of Propaganda from the Ancient World to the Present Era. Manchester & New York: Manchester University Press.

Wamitila, K. W. (2003). Kamusi ya fasihi: istilahi na nadharia. Nairobi: Focus Publications Ltd.

Wodak, R. (1997). Gender and Discourse. London: Sage Publications.

Tarehe ya Uchapishaji
12 December, 2022
Jinsi ya Kunukuu
Mugaduka, M., & Murithi, J. (2022). Ufungamano wa Itikadi na Propaganda katika Tamthilia za Maua Kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001). Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 5(2), 110-123. https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.1004