Matamko Tendi na Athari Zake kwa Wahusika katika Riwaya za Ken Walibora

  • Asca Monica Koko Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknologia cha Jaramogi Oginga Odinga
  • Juliet Akinyi Jagero, PhD Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknologia cha Jaramogi Oginga Odinga
  • Naomi Nzilani Musembi, PhD Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknologia cha Jaramogi Oginga Odinga
Keywords: Matamko Tendi, Dayolojia, Chanya, Hasi
Sambaza Makala:

Ikisiri

Matamko tendi (MT) ni vitendo vinavyotekelezwa kwa kuvitamka tu kwa sauti. Katika matamko tendi msemaji huwa ametenda kupitia kuzungumza. Riwaya inatarajiwa kuwa na usimulizi hata hivyo dayolojia huweza kutokea katika riwaya. Kutokana na hayo, makala hii inanuia kuchunguza matamko tendi yanayopatikana katika dayolojia baina ya wahusika katika riwaya za Walibora. Makala hii inalenga kuchanganua matamko tendi na athari zake katika riwaya za Walibora. Makala iliongozwa na Nadharia ya Vitendo usemi.  Sampuli dhamirifu ilitumika kuteua riwaya nne za Walibora huku sampuli dabwadabwa ikitumika kuteua MT kutoka riwaya hizo. Mbinu ya unukuzi ilitumiwa kudondoa sehemu za matini na kuwekwa kwenye jedwali la matukio. Data zilichanganuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo kulingana na madhumuni ya makala na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo na majedwali. Makala ilionyesha kwamba wahusika waliathiriwa na matamko kwa njia chanya hasa matamko ya furaha na kujenga mahusiano katika jamii. Uchanganuzi wa MT una umuhimu katika usomaji, uchanganuzi na ufasiriaji wa mazungumzo ya wahusika na maana anayonuia mwandishi wa Riwaya.

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Austin, J. L. (1962). How to do Things with Words. New York: Oxford University Press.

Austin, J. L. (1975). Performative utterances. In Austin (1970a: 233-252).

Bach, K. & Harnish, R.M. (1979). Linguistic Communication and Speech Acts. Cambridge, Mass.: MIT Press.

Blakemore, D. (1992). Understanding Utterances: An Introduction to Pragmatics. Oxford:Blackwell.

Chen, X. (2019). “You're a nuisance!”: “Patch-up” jocular abuse in Chinese fiction. Journal of Pragmatics, 139, 52-63.

Cohen, D. and Crabtree, B. (2006). Qualitative Research Guidelines Project. Retrieved from http:/www.qualves.org/home/ter- 382.html

Cutting, J. (2001).Utterance Acta and Speech Acts of the In- Groups. Journal of Pragmatics. 33.1113

Gelber, K. (2002). Speakinh Back: The Free Speech Versus Hate Speech Debate. John Benjamns.

Gorman, D. (1999). Use and Abuse of Speech Acts Theory in Criticism. Poetics Today., 20, 119-193.

Kombo, D.K. and Tromp, D. (2006). Propasal and Thesis Writing. An Introduction. Nairobi.: Paulines Publications Africa.

Leech, G. (1983). Principles of Pragmatics. . Nairobi.: Longman.

Levinson, S.C. (1983). Pragmatics. Cambridge: Cambridge University Press.

Littlejohn, S. W. (2009). Speech Act Theory. In S. W. Littlejohn, na K. A. Foss, Encyclopedia of Communication Theory (uk. 918 - 920). London: SAGE Publications Ltd.

Lyons, J. (1977). Semantics, Vols. 1 & 2. Cambridge: Cambridge University Press.

Malik, F. (1995). Performance Utterances. Their Basic and Secondary Meanings with reference to 5 English Translations of the Meanings of the holy quran. Durham University.

Martinich, A. P.(1984). Communication and Reference. Water de Gruyter

Masaki, Y. (2004). Critique of J.L. Austin's Speech Acts Theory: Decentrolization of the Speaker- Centered Meaning in Communication. (Vol. 2). Kyusha Communication Studies.

Matasi, B. (2014). Uchanganuzi wa Vitendoneni katika Khutuba za Ijumaa na Athari zake Kwa Waumini wa Bagisu, Mashariki mwa Uganda. Chuo kikuu Cha Egerton. Haijachapishwa.

Miruka, F. A. (2018). Vigezo vya Uanishaji wa Mafumbo katika Fasihi ya Kiswahili: Uhakiki wa Tamthilia za Kyalo Wadi Wamitila. A PHD Thesis of JOOUST. Unpublished.

Palmer, F. (1981). Semantics. . New York.: Cambridge University Press.

Searle, J. R. (1969). Speech Acts: An Essay in the Philosophy of Mind. London.: Cambridge University Press.

Searle, J. R. (1975). Indirect Speech Acts. In P. a. Cole (Ed.), Syntax and Semantics (pp. 59-82). New York: Academic Press.

Searle, J. R. (1983). Intentionality. An Essay in the Philosophy of Mind. Cambridge. Cambridge University Press.

Walibora, K. (1996). Siku Njema. Nairobi.: Longhorn Publishers.

Walibora, K. (2003). Kufa Kuzikana. Nairobi.: Longhorn Publishers.

Walibora, K. (2006). Ndoto ya Almasi. Nairobi.: Moran Publishers.

Walibora, K. (2012). Kidagaa Kimemwozea. Nairobi.: Spotlight Publishers.

Wyche, S., Sengers, P. na Grinter, R. (2006). Historical Analysis: Using the Past to Design the Future. Retrieved from www.cc.gatech.edu/~beki/e29.pdf.

Yule, G. (1996). Pragmatics. Nairobi: OUP.

Yuliani, M. (2013). AN Analysis of Types of Speech Acts in Novel'The Doctor.s Wife' by Moore Brian. STKIP: Pororogo.

Tarehe ya Uchapishaji
29 September, 2022
Jinsi ya Kunukuu
Koko, A., Jagero, J., & Musembi, N. (2022). Matamko Tendi na Athari Zake kwa Wahusika katika Riwaya za Ken Walibora. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 5(1), 250-258. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.799