Arki za Utaifa wa Jamii ya Akamba
Ikisiri
Utaifa wa kijamii hujitokeza katika tanzu mbalimbali za sanaa. Wanadamu hutumia fasihi yao kuendeleza utaifa wa kijamii ili kuelezea asili yao, changamoto zinazowakabili, maadili ya kijamii, maono na ushindi wao. Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchunguza jinsi nyimbo pendwa za mwanamuziki Ken wa Maria zinavyoendeleza utaifa wa jamii ya Akamba. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza arki za utaifa wa jamii ya Akamba katika nyimbo pendwa teule za Ken wa Maria. Utafiti huu uliongozwa na Nadharia ya Utaifa iliyoasisiwa na David Smith. Nadharia ya Utaifa hueleza kwamba ili utaifa wa jamii uwepo lazima jamii hiyo iweze kumiliki utamaduni mmoja, lugha, imani ya dini na historia. Mihimili ya nadharia hii ndiyo iliyoelekeza utafiti huu wakati wa kukusanya, kuchanganua na kuwasilisha data kwa kuzingatia madhumuni ya utafiti. Muundo wa utafiti huu ni muundo elezi. Utafiti huu ulifanyiwa katika maktaba ili kupata data. Sampuli ya kimakusudi ilitumika ili kupata nyimbo 24 ambazo zilipakuliwa kutoka mtandao wa YouTube na Mdundo.com. Nyimbo hizi zilitafsiriwa katika lugha ya Kiswahili kisha kuchanganuliwa ili kubainisha arki za utaifa wa jamii ya Akamba. Data ilichanganuliwa na matokeo yake kufafanuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo. Uwasilishaji wa data ya utafiti ulifanywa kwa njia ya kimaelezo. Utafiti huu ulibaini kwamba kunazo arki za utaifa katika nyimbo pendwa za Ken wa Maria kama vile utambulisho wa kiuana na kijamii, utamaduni, historia na ikolojia. Utafiti zaidi unaweza kufanywa kuhusiana na mada hii hasa jinsi wasanii wengine kutoka jamii ya Akamba wanavyotalii suala la ujenzi wa utaifa wa jamii
Upakuaji
Marejeleo
Breuilly J. 1998. Nationalism and the State. Manchester: Manchester University Press.
Daniel, C. N. (2020). Construction of Masculinity in Kenyan Popular Music: A Close Analysis of Selected Kamba Popular Performances (Unpublished) Masters Thesis, University of Nairobi.
Gellner, E. (1964): Theory of Nationalism: Weidenfeld and Nicolson.
Kombo, D. K. and Tromp. D.L.A. (2006). Proposal and Thesis Writing: Introduction. Nairobi: Paulines Publication Africa.
Kothari, C.R (1990). Research Methods: Techniques and Procedures. London: London University Press.
Liobera J. R (1999). Recent Theories of Nationalism, London University College. Newyork.
Kupchan, A. C. (1995). Introduction: Nationalism Resurgent. In Charles, A. Kupchan, (ed.) Nationalism and Nationalities in the new Europe. London: Cornell University Press.
Maelo M. (2014). The manifestation of Nationalism in Bukusu Funeral Oratory. International Journal of Education and Research, 2(11), 2201-6740. ISSN: 2201-6333 (Print) ISSN:
Masango, M. J. S., (2006). African Spirituality that Shapes the Concept of Ubuntu, Verbum et Ecclesia Journal”, 27(3): 930-943
Mbondo, B. J. (2006). Beliefs and Practices of Witchcraft Intervention Among the Akamba Christians of Machakos District. (Unpublished) MA Thesis. Kenyatta University.
Msanjila, P., Kihore, Y. M., & Massamba, D. (2009). Isimu Jamii Sekondari na Vyuo. Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.
Msanjila, P. (2011). Utata wa Kutumia Lugha kama Kibainishi cha Utambulisho wa Mzungumzaji. Swahili forum 18 (2011): 87-9. https://nbn- resolving.org/urn:nbn:de:bsz:15qucosa-90552
Mung’ala, J. A. na Wengine, (2020). Uchunguzi wa Uundaji wa Vitambulisho vya Utaifa Katika Tamthilia ya Mstahiki Meya. American Journal of Education and Practice ISSN 2520 - 3991(online) Vol.4, Issue 1, p 60 -71 2020
Musembi, N.N (2016). Mabadiliko ya Maudhui katika Nyimbo Jando: Mfano kutoka jamii ya Wakamba. Tasnifu ya Uzamifu (Haijachapishwa). Chuo Kikuu cha Mount Kenya.
Musili, T. K. (2022). Ndwae Ngone Mwaitu: A Postmodern Cultural Phenomenon of Dowry among the Akamba and its influence on Spousal Violence. Journal of International Women's Studies, 24(4), 11.
Mwikali, K. (1990). Barking you’ll be eaten, the wisdom of Kamba literature. Nairobi.
Ndisya, J. M. (2015). An Analysis and Response to the Fear of Evil Spiritual Forces Among Kamba Christians in the Light of Biblical and Ellen G. White Teachings. Dissertations. https://digitalcommons.andrews.edu/dissertations/1587 https://dx.doi.org/10.32597/dissertations/1587
Ndung’u, P. M., Gacheiya, R. M., & Kitetu, C. W. (2022). Mitazamo ya Lugha na Utambulisho wa Kijamii Miongoni mwa Wazungumzaji wa Kĩndia na Kĩgĩchũgũ. East African Journal of Swahili Studies, 5(1), 215-223. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.769.
Ngila, S. N. (2012). The Persistence of Iweto Marriage among the Akamba Christians of Kangundo District, Machakos County, Kenya. (Unpublished Theses). Nairobi, Kenya: Kenyatta University
Ngugi, T. (1986). Decolonizing The Mind. The Politics of Language in African Literature. EAEP. Nairobi.
Nyamongo, G. B. (2020). Woman to Woman Marriage: The Case of Female Husbands Amon The Akamba of Kenya. The Strategic Journal of Business & Change Management, 7 (4), 1462 – 1474.
Özkırımlı, U. (2010). Theories of Nationalism: A Critical Introduction (2nd ed.). Basingstoke: Palgrave Macmillan.
Sengo, T.S.Y (1990). Hisiya Zetu. Dar es Salam: Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ChuoKikuu cha Dar es Salam
Simatei, P. S. (2010) 'Kalenjin Popular Music and the Contestation of National Space in Kenya'. Journal of Eastern African Studies, 4: 3, 425 — 434
Smith, A. D. (1993). National Identity. London: Penguin Books.
Smith, A.D. (2010). Nationalism: Theory, Ideology, History (2nd Ed). London: Macmillan Press. Tajfel, H. (1981). Human groups and social categories: Studies in Social Psychology. Cambridge University Press.
Tajfel, H. (Ed.). (1982a). Social identity and intergroup relations. Cambridge University Press.
TUKI, (2006). Kamusi ya Kiingereza-Kiswahili, Toleo la tatu. Dar-es-Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.
Vatika S. (2018). Food: Identity of Culture and Religion: https://www.researchgate.net/publication/331131602
Copyright (c) 2025 Josephine Kanini Munyao, Wendo Nabea, PhD, Pamela Sheila Wandera, PhD

This work is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License.
 
							    
							 
							 
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
             
            