Nafasi ya Vifaa katika Kukuuza Anthroposenia katika Riwaya za Emmanuel Mbogo na Katama Mkangi: Mfano wa Bustani ya Edeni, Vipuli vya Figo, na Mafuta

  • Waithiru Kago Antony Chuo Kikuu cha Laikipia
  • Wendo Nabea Chuo Kikuu cha Laikipia
  • Sheila Wandera-Simwa Chuo Kikuu cha Laikipia
Keywords: Anthroposenia, Bustani ya Edeni, Kukuuza, Uhakikimazingira, Vifaa, Vipuli vya Figo
Sambaza Makala:

Ikisiri

Makala haya yametathmini nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia katika riwaya mbili za Emmanuel Mbogo: Bustani ya Edeni na Vipuli vya Figo, na moja ya Katama Mkangi; Mafuta. Kwa jumla, anthroposenia humlaumu binadamu pekee kama asili ya uharibifu wa mazingira ulimwenguni. Waandishi hawa wawili wamefanikiwa kusawiri nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia kupitia riwaya zao teule. Lengo kuu ya makala haya lilikuwa kujadili nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia katika riwaya tatu zilizotajwa. Riwaya hizi tatu zilisomwa na mtafiti, kisha data iliyodhihirisha nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia ilitongolewa mintarafu ya lengo la makala haya. Ikizingatiwa kwamba utafiti wa makala haya ulitumia mbinu ya upekuzi-changanuzi wa yaliyomo katika ukusanyaji data, mtafiti alichanganua data baada ya kuyatongoa yaliyokuwamo kwa kuongozwa na baadhi ya nguzo kuu za Nadharia ya Uhakikimazingira ili kuafiki nia ya makala. Baadhi ya nguzo hizo ni maendeleo endelevu, utandawazi na uongozi mbaya. Deta iliwasilishwa na kuchanganuliwa kwa njia maelezo ilhali uchanganuzi wa data ulihusisha mbinu ya kithamano. Suala la utafiti lililonuiwa kutatuliwa na makala haya ni kuongeza kanoni ya anthroposenia kama taaluma. Ilibainika bayana kuwa, waandishi wa riwaya hizi tatu wamefanikiwa kusawiri nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia kupitia matumizi ya vifaa kama vile jaa la taka, viwanda, mvua na matope, fedha, simu na tarakilishi, pamoja na kitanda na mafuta

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Angus, I. (2016). Facing the Anthropocene. New York: Monthly Review Press.

BAKITA (2015). Kamusi Kuu ya Kiswahili. Nairobi, Kenya: Longhorn Publishers.

BAKITA (2022). Kamusi Kuu ya Kiswahili (3rd ed.). Longhorn Publishers.

Bergthaller, H. & Horn, E. (2020). The Anthropocene: Key Issues for the Humanities (1st ed.). Routledge.

Butler, D. R. (Ed.). (2022). The Anthropocene (1st ed.). Routledge.

Chandler, D., Grove, K. & Wakefield, S. (Eds.). (2020). Resilience in the Anthropocene: Governance and Politics at the End of the World (1st ed.). Routledge.

Davis, H. (2015). Life and Death in the Anthropocene: A Short history of Plastic. In:Heather, Davis and Turpin, Etienne (Eds.). Art in the Anthropocene: Encounters Among Aesthetics, Politics, Environment and Epistemologies. London: Open Humanities Press, pp. 347 – 358.

Ellis, E. C. (2018). Anthropocene A Very Short Introduction. Oxford: United Kingdom. Oxford University Press.

Feder, H. (Ed.). (2021). Close Reading the Anthropocene (1st ed.). Routledge.

Filipova, L. (2023). Ecocriticism and the Sense of Place (1st ed.). Routledge.

Garrard, G. (2007). Ecocriticism and Education for Sustainability. In Pedalogy: Critical Approaches to Teaching Literature, Language, Composition & Culture, Vol. 7(3): 359-386. Duke University Press.

Garrard, G. (2023). Ecocriticism (3rd ed.). Routledge.

Glotfelty, C. na Fromm, H. (Eds.). (1996). Ecocriticism Reader: Landmarks in Literary Ecology. Athens and London: The University of Georgia Press.

Howarth, B. R. (1996). Climate Changes and Overlapping Generations. Journal of Contemporary Economic Policy, 14(4). Pg. 100-111. https://doi.org/10.1111/j.1465-7287.1996.tb00637.x

Lara, S., Peta, T. & Denise, V. (Eds.). (2018). Feminist Ecologies: Changing Environments in the Anthropocene. Cham: Switzerland. Palgrave Macmillan Publishers.

Mbogo, E. (1996). Vipuli Vya Figo. Nairobi, Kenya: East African Educational Publishers.

Mbogo, E. (2002). Bustani ya Edeni. Nairobi, Kenya: Longhorn Publishers (K).

Mdee, J. S., Njogu, K. na Shafi, A. (2015). Kamusi ya Karne ya 21. Nairobi: Kenya. Longhorn Publishers.

Mdee, S., Shafi, A., Kiango, J. Na Njogu, K. (2009). Kamusi Kamili ya Kiswahili. Nairobi: Kenya. English Press.

Mkangi, G.C.K. (1984). Mafuta. Kijabe Street, Nairobi, Kenya: Heinamann Educational Books (East Africa).

Moore, J. W. (Eds.). (2016). Anthroposecene or Capitalocene? Nature, History, and the Crisis of Capitalism. Oakland, CA: USA. KAIROS PM Press.

Nabea, W. (2023). Ghafi kawa Safi. Kenya Literature Bureau.

Nayar, K. P. (2010). Contemporary Literary and Cultural Theory: From Structuralism to Ecocriticism. Delhi, India: Longman.

Ndalu, A. E., Babusa, H. & Mirikau, A. S. (2014). Kamusi Teule ya Kiswahili: Kilele cha Lugha. Nairobi, Kenya: East African Publishers.

Quick, P. S. (2004). ‘An Ecocritical Approach to the Southern Novels of Cormac Mccarthy.’ Unpublished PhD Thesis: University of Georgia.

Reno, S. T. (Ed.). (2022). The Anthropocene Approaches and Contexts for Literature and the Humanities (1st ed.). Routledge.

Sklair, L. (Ed.). (2022). The Anthropocene in Global Media: Neutralizing the risk (1st ed.). Routledge.

Slovic, S., Rangarajan, S. & Sarveswaran, V. (Eds.). (2020). Routledge Handbook of Ecocriticism and Environmental Communication (1st ed.). Routledge.

Sritama, C. (2022, Nov. 16th). Off-Shore Aesthetics and Waste in the Ship-Breaking Literature of Bangladesh. South Asian Review Article. Taylor & Francis Group. https://doi.org/10.1080/02759527.2022.2145745

TUKI (2006). English-Swahili Dictionary. (3rd ed.). Mauritius. Book Printing Services.

TUKI (2013). Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Nairobi: Kenya. Oxford Press.

TUKI (2014). Kamusi ya Kiswahili Sanifu (3rd ed.). Nairobi: Kenya. Oxford University Press.

Waithiru, A. K. (2022a). Symbols of the Sentient House of Usher: An Ecocritic Approach East African Journal of Education Studies, 5(2), 369- 376. https://doi.org/10.37284/eajes.5.2.812.

Waithiru, A. K. (2022b). An Evaluation of Environmental Symbolism used in Children Literature: Case Study of Kijiji Cha Ukame and Mazingira Maridadi. East African Journal of Education Studies, 5(3), 1-10. https://doi.org/10.37284/eajes.5.3.846.

Wallenhorst, N. & Wulf, C. (Eds.). (2023). Handbook of the Anthropocene Humans between Heritage and Future (1st ed.). Springer Publishers.

Wamitila, K. W. (2022). Kamusi Pevu ya Kiswahili (3rd ed.). Nairobi: Vide-Muwa Publisher.

Tarehe ya Uchapishaji
20 June, 2024
Jinsi ya Kunukuu
Antony, W., Nabea, W., & Wandera-Simwa, S. (2024). Nafasi ya Vifaa katika Kukuuza Anthroposenia katika Riwaya za Emmanuel Mbogo na Katama Mkangi: Mfano wa Bustani ya Edeni, Vipuli vya Figo, na Mafuta. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 7(1), 297-307. https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1996