Mofolojia Isoshikanisho katika Kiswahili

  • Deo Ngonyani Chuo Kikuu cha Jimbo la Michigan
Keywords: Mofolojia Mshikanisho, Mofolojia Isoshikanisho, Mofimu, Kiolezo, Ruwaza
Sambaza Makala:

Ikisiri

Makala hii inafafanua na kujadili mofolojia isoshikanisho katika Kiswahili na dhana ya mofimu. Baada ya kuelezea sifa bainifu za mofolojia mshikanisho na isoshikanisho, mifano kadha ya mofolojia hiyo katika Kiswahili inafafanuliwa. Mifano hiyo ni katika vionyeshi, uradidi, na ufupishaji wa majina na nomino. Violezo na ruwaza vinaelezwa kuwa muhimu katika fasili ya mofimu katika mofolojia isoshikanisho. Makala inabainisha mofimu za Kiswahili zinaundwa na vipandesauti na violezo. Kwa upande mwingine, violezo hivyo na mifano ya vifupisho vya majina kuwa silabi mbili inabainisha dhima kubwa ya arudhi na katika kuunda maneno ya Kiswahili

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Ashton, E. O. (1947). Swahili Grammar (Including Intonation). London: Longmans, Green and Co.

Barrett-Keach, C. (1986). Word-internal evidence from Swahili AUX/Infl. Linguistic Inquiry, 17(3), 559-564.

Bye, P., & Svenonius, P. (2012). Non-concatenative morphology as epiphenomeno. Kwenye J. Trommer (Mhar.), Morphology and Phonology of Exponence : Morphology and Phonology of Exponence. Oxford: Oxford University Press.

Emenanjo, E. N. (2015). A Grammar of Contemporary Igbo: Constituents, Features and Processes. Port Harcourt: M and J Grand Orbit Communications.

Goldsmith, J. (1976). Autosegmental Phonology. MIT: Tasnifu ya Uzamivu.

Hannah, G., & Yoneda, N. (2018). Functions of verb reduplication and verb doubling. Jouranl of Asian and African Studies, 96, 5-27.

Hurskainen, A. (2005). Solutions for handling non-concatenative processes in Bantu languages. Kwenye L. Arppe, L. Carlson, Lindén, Krister, J. Piitulainen, M. Souminen, Vainio, Martti, . . . Yli-Jyrä, Anssi (Wahar.), Inquiries into Words, Constraints and Contexts (kur. 45-54). Stanford: CSLI Publications.

Inkelas, S., & Downing, L. (2015). What is reduplication? Typology and analysis: Part 1/2 the typology of reduplication. Language and Linguistics Compass, 9(12), 491-528.

Katamba, F. (1978). How agglutinative is Bantu morphology? Linguistics, 16, 77-84.

Kenstowicz, M. (1994). Phonology in Generative Grammar. Cambridge, MA: Blackwell.

Kihore, Y., Massamba, D. P., & Msanjila, Y. P. (2009). Sarufi Maumbo ya Kiswahili Sanifu. Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.

Kosch, I. (2005). Discontinous elements in morphology. South African Journal of African Languages, 3, 161-172.

Leben, W. R. (1973). Suprasegmental Phonology. MIT: Tasnifu ya Uzamivu.

Massamba, D. P. (1982). Aspects of Accent and Tone in Ci-Ruuri. Inciana University: Tasnifu ya Uzamivu.

Matinde, R. S. (2012). Dafina ya Lugha Isimu na Nadharia. Mwanza: Serengeti Educational Publishers.

McCarthy, J. J. (1981). A prosodic theory of nonconcatenative morphology. (3, Mhar.) Linguistic Inquiry, 12, 373-418.

McCarthy, J. J. (1982). Prosodic templates, morphemic templates, and morphemic tiers. Kwenye H. van der Hulst, & N. Smith (Wahar.), The Structure of Phonological Representations (kur. 191-223). Dordrecht: Foris Publication.

McCarthy, J. J., & Prince, A. S. (1990). Foot and word in prosodic morphology: The Arabic broken plural. Natural Language & Linguistic Theory, 8(2), 209-283.

McCarthy, J. J., & Prince, A. S. (1995). Prosodic morphology. Kwenye J. Goldman (Mhar.), The Handbook of Phonological Theory (kur. 318-366). Cambridge, Mass: Blackwell Publishers.

Mchombo, S. (2004). The Syntax of Chichewa. Cambridge: Cambridge University Press.

Myers, S. (1998). Aux in Bantu morphology and phonology. Kwenye L. Hyman, & C. Kisseberth (Wahar.), Theoretical Aspects of Bantu Tone (kur. 231-264). Stanford: Center for the Study of Language and Information.

Ngonyani, D. (2006). Attract F and verbal morphology in Kiswahili. The Linguistic Review, 23(1), 35-66.

Novotna, J. (2000). Reduplication in Swahili. Swahili Forum, VII, 57-73.

Park, J.-I. (1997). Disyllabic requirement in Swahili morphology. U Penn Working Papers on Linguistics, 4(2), 245-257.

Spencer, A. (1991). Morphological Theory. Oxford: Blackwell Publishers Ltd.

Wesana-Chomi, E. (2013). Kitangulizi cha Mofolojia ya Kiswahili. Dar es Salaam: Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili.

Wiltshire, C., & Marantz, A. (2000). Reduplication. Kwenye G. E. Booij, C. Lehman, J. Mugdan, W. Kisselheim, & S. Skopeteas (Wahar.), Morphologie 1. Halbband (kur. 557-567). Berlin & New York: De Gruyter.

Tarehe ya Uchapishaji
21 November, 2023
Jinsi ya Kunukuu
Ngonyani, D. (2023). Mofolojia Isoshikanisho katika Kiswahili. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 6(2), 15-29. https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1580