Uchunguzi wa Mielekeo ya Walimu na Wanafunzi Kuhusu Mbinu na Nyenzo za Kufundishia Kiswahili Katika Shule za Upili za Umma, Kaunti za Kisumu na Kakamega, Kenya

  • Linnah Apondi Okeyo Chuo Kikuu cha Kenyatta
  • John N. Kimemia, PhD Chuo Kikuu cha Kenyatta
  • Sophia M. Ndethiu, PhD Chuo Kikuu cha Kenyatta
Keywords: Mielekeo, Mbinu, Nyenzo, Kufundishia, Kiswahili na Matokeo
Sambaza Makala:

Ikisiri

Utafiti huu ulichunguza mielekeo ya walimu na wanafunzi kuhusu mbinu na nyenzo zlizotumiwa wakati wa kufunza Kiswahili katika shule za upili katika Kaunti za Kisumu na Kakamega nchini. Lengo la utafiti huu lilikuwa kutambua mbinu na nyenzo zilizotumiwa na walimu pamoja na wanafunzi wao kufunza na kujifunza Kiswahili pamoja na mielekeo yao kuzihusu.Utafiti ulilenga idadi ya walimu na wakuu wa idara 12 katika kila Kaunti pamoja na wanafunzi 960. Data ilikusanywa kupitia hojaji za wanafunzi na walimu, mwongozo wa usaili kwa wakuu wa Idara ya Kiswahili pamoja na uchunguzi wa darasani. Data zilichanganuliwa kwa kutumia Toleo la takwimu 13 kuonyesha idadi katika alama za asilimia na uradidi.Mbinu walizochangamkia wanafunzi masimulizi, mihadhara na maonyesho) sizo zilizotumiwa na walimu kila mara kuwafunza. Mbinu za kikoa, na mseto pamoja na usomaji mpana na wa kina (vitabu vya ziada, viteule na gazeti la Taifa Leo) zilitumika sana Kakamega hali iliyochangia matokeo yao kuwa bora kiasi kuliko ya Kisumu. Mbinu za jadi zilichangamkiwa zaidi katika kaunti zote madjhali mbinu za kidijitali hazikutumiwa sana.Ilibainika kuwa pana uhusiano kati ya mielekeo, utendakazi na matokeo ya wanafunzi somoni; mielekeo chanya iliathiri utendakazi na matokeo kwa namna chanya bali mielekeo hasi ikiathiri haya yote kwa namna hasi. Walimu waboreshe mbnu na nyenzo wanazozitumia kufunza Kiswahili ili matokeo yake yapate kuimarika zaidi katika shule zote, kaunti zote na nchini

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Adeyemo, S.A. (2011). The Effect of Teachers’ Perception and Students’ Perception of Physics Classroom Learning Environment on their Academic Achievement in Senior Secondary Schools Physics. International Journal of Educational Research and Technology. Vol.2, Issue 1, 2011: 74-81. ISSN 0976 -4089 Journal’s URL: www.soeagra.com/ijert.htm.

Ahmad, F. na Aziz, J. (2009). Students’ Perceptions of the Teachers’ Teaching of Literature Communicating and Understanding Through the Eyes of the Audience. European Journal of social sciences, 7 (3), 17.

Akaka, L. (2017). Changamoto Zinazowakabili Walimu katika Ufundishaji wa Kiswahili katika Shule za Upili Nchini Kenya. Kioo cha Lugha, 11(1).

Aziz, M. (2003). Organizational Role Stress among Indian Information Technology Professionals. Asian-Pacific Newsletter on Occupational Health and Safety, 10, 31-39. Scientific Research: An Academic Publisher.

Babusa, H. O. (2010). Uchanganuzi linganuzi wa mielekeo na umilisi wa lugha ya Kiswahili wa wanafunzi katika mikoa ya Pwani na Nairobi nchini Kenya.(Doctoral dissertation, Kenyatta University).

Batibo, H. (2005). Language decline and death in Africa: Causes, consequences, and challenges (Vol. 132). Multilingual Matters.

Cannon, C.M. na Palmiter, R.D. (2003). Reward without Dopamine. The Journal of Neuroscience: The official Journal of the Society for Neuroscience 23 (34:10827-31.

Chacha, S. (2016). Uhusiano wa Mikakati ya Ufundishaji wa Fasihi ya Watoto ya Kiswahili na Umilisi wa Kusoma Katika Shule za Msingi, Kasarani, Kaunti ya Nairobi, Kenya: Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Kenyatta.(Haijachapishwa).

Chika, P. O. (2012). The Extent of Students’ Responses in the Classroom. International Journal of Academic Research in Business and Social Sciences, 2 (1). www.hrmars.com/journals on 02/10/2015.

Creswell, J. W. (2014). Research Design :Qualitative, Quantitative and Mixed Methods Approaches (4th ed). London: Sage Publications.

Cummin, G. na Lindsey, D. J. (2004). The Relationship between Teachers literary beliefs and their instructional practices.Educational Journal of Teaching and Learning in Diverse Settings. 1 (2), 175-188.

Ellis, R. (I997). Instructed Second Language Acquisition. Oxford: Basil Blackwell Ltd.

Gathumbi, A. W., & Masembe, S. C. (2005). Principles and techniques in language teaching: A text for teacher educators, teachers, and pre-service teachers. Jomo Kenyatta Foundation.

Guha, S. (2003). Are we all, technically prepared? Teachers' perspective on the course of comfort or discomfort in using computers at elementary grade teaching. Information Technology in childhood Annual, 317-349.

Henson, K. T. (2004). Constructivist methods for teaching in diverse middle-level classrooms. Boston, MA: Allyn & Bacon.

Hou, C. S. (2007). A study on the relationship between teacher-student style match or mismatch and English learning achievements. Unpublished master‘s thesis). National Yunlin University of Science & Technology, Yunlin, Taiwan.

Kang’ahi, M., Indoshi, F. C., Okwach, T. O., & Osodo, J. (2012). Teaching styles and learners’ achievement in Kiswahili language in secondary schools. International Journal of Academic Research in Progressive Education and Development, 1(3). www.hrmars.com/journals on 02/10/2015.

KIE (2002). Secondary Education Syllabus, Volume one, Nairobi: K.I.E.

Kimani J. N.(2015). Uhusiano wa mbinu za kufundisha sarufi na umilisi wa mazungumzo ya wanafunzi wa sekondari, Kaunti ndogo ya Thika Magharibi, Kenya.Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Kenyatta, Kitivo cha Elimu (Haijachapishwa).

Lighbown, P. na Spada. (1990). Focus on Form and Corrective Feedback in Communicative Language Teaching: Effects on Second Language Learning. Cambridge: Cambridge University Press.

Look, D. (2005). Discussion Paper: Impact of Technology on Education, PUSD Excellence committee. http://pleasanton.k12.ca.us/ Superintendent/ Downloads/Technology.pd

Magare, D. Y. (2017). Matumizi ya Majadiliano ya Vikundi katika Kufunzia Stadi za Kuzungumza katika Shule za Upili katika Tarafa ya Mososcho, Kaunti ya Kisii, Kenya. Tasnifu ya uzamili, Chuo Kikuu cha Kenyatta, Kitivo cha Elimu (Haijachapishwa).

Melly, K. J. (2019). Matumizi ya vifaa vya kisasa katika ufundishaji na ujifunzaji wa Sarufi:Mfano wa Shule za Upili Kaunti ndogo ya Moiben, Kenya. Tasnifu ya uzamili, Chuo Kikuu cha Kibabii (Haijachapishwa).

Miima, F. A. (2014). Integration of information communication technologies in teaching and learning of Kiswahili language in public secondary schools in Kakamega County, Kenya. Unpublished PhD Thesis, Kenyatta University.

Mlay, N. (2010). The influence of the language of instruction on students' academic performance in secondary schools: A comparative study of urban and rural schools in Arusha-Tanzania (Master's thesis, University of Oslo).

MOE (2005). KESSP 2005-2010. Nairobi: Ministry of Education.

Mukhwana, A.(2014). Attitude towards Kiswahili in urban Kenya. International Journal of Scientific Research and Innovative Technology, 1(3).

Mukwana, C.W. & Too, J. (2014). General Instructional Methods. Moi University Press. Eldoret.

Nakhumicha, S. M. (2013). Factors Affecting Academic performance in Secondary Schools in Kenya. A case of Trans-Nzoia West District.dMPHL Thesis). Moi University, Eldoret, Kenya.

Ngugi wa Thiongo (2009). Remembering Africa. East African Educational Publishers. Nairobi, Kenya.

Odhiambo, (2012). Taskforce on the Realignment of the Education Sector to the Constitution of Kenya 2010: Towards a Globally Competitive Quality Education for Sustainable Development. Report of the Task Force- MOE, Kenya.

Ogero, J. O. (2012). Institution based factors influencing students' performance in Kiswahili at KCSE in public schools in Sameta Division Kisii County Kenya. Unpublished MED Thesis, Kenyatta.

Oloo, M. A. (2018). Masuala yanayoathiri Ufunzaji na Ujifunzaji wa somo la Ufahamu katika shule za upili katika kaunti ya Kisumu nchini Kenya. Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Masinde Muliro (MMUST). (Haijachapishwa).

Onyango, J. (2008). Second Language Learning. Unpublished module, Kenyatta University.

Opunde, S. (Haijulikani). Mwelekeo Mseto katika Ufundishaji wa Lugha ya Kiswahili. Karatasi ya utafiti, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Masinde Muliro (MMUST).(Haijachapishwa).

Otunga, N., Odeo, I. I, & Barasa, L. (eds.) (2011). A Handbook for Curriculum and Instruction. Eldoret: Moi University Press.

Owala, J. A. (2014). Mitazamo Kuhusu Kiswahili Miongoni Mwa Wazungumzaji Wa Kijaluo-Kifani Cha Shule Za Msingi Katika Kaunti Ya Migori (Doctoral dissertation, University of Nairobi).

Oxford, R.L. (1997). Cooperative Learning, Collaborative Learning, and Interaction: Three Communicative Strands in the Language Classroom. The Modern Language Journal. Vol.81, No. 4, Special Issue: Interaction,Collaboration, and Cooperation: Learning Languages and Preparing Language Teachers. Wiley Publishers.

Rosenthal, R., & Jacobson, L. (1968). Pygmalion in the classroom: Teachers' expectations and pupils' intellectual development. Holt, Rinehart and Winston.

Rutere, J. K. (2012). Effects of teacher related factors on implementation of integrated Kiswahili curriculum in public secondary schools in Nkuene Division, Imenti South district, Kenya (Doctoral dissertation, University of Nairobi, Kenya).

Stitt-Gohdes, W. L. (2001). Business Education Students' Preferred Learning Styles and Their Teachers' Preferred Instructional Styles: Do They Match?. Delta Pi Epsilon Journal, 43(3), 137-51.

Tume ya Koech (1999). Report of the Commission of Inquiry on the Education system in Kenya. Nairobi; Government Printer Kenya.

Wambui, H. K. (2017). Tathmini ya matumizi ya vifaa vya kufundishia msamiati wa Kiswahili katika shule za msingi za umma, Kaunti ya Kisumu Mashariki, Kenya. International Journal of Emerging Trends in Science and Technology, 3(10)

Watson, M. (2003). Learning to trust: Transforming difficult elementary classrooms through developmental discipline. San Francisco: Jossey-Bass.

Tarehe ya Uchapishaji
10 November, 2023
Jinsi ya Kunukuu
Okeyo, L., Kimemia, J., & Ndethiu, S. (2023). Uchunguzi wa Mielekeo ya Walimu na Wanafunzi Kuhusu Mbinu na Nyenzo za Kufundishia Kiswahili Katika Shule za Upili za Umma, Kaunti za Kisumu na Kakamega, Kenya. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 6(1), 448-467. https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1551