Uchanganuzi wa Sitiari Muono katika Mashairi Ruwaza ya Kiswahili

  • Nabeta K. N. Sangili, PhD Chuo Kikuu cha Marafiki cha Kaimosi
Keywords: Mashairi, Ruwaza, Sitiari, Uchanganuzi, Mapinduzi
Sambaza Makala:

Ikisiri

Mashairi ruwaza ni dhana tunayotumia kurejela mashairi ya ‘kimaajabu’ katika taaluma ya ushairi wa Kiswahili. Mashairi haya yamekuwepo tangu miaka ya elfu mbili, hasa katika diwani za Kithaka wa Mberia. Yakilinganishwa na mashairi ya kawaida, mashairi ruwaza yanadhihirisha uchangamano mkubwa katika uwasilishaji maudhui na ufumbuaji wa maana. Hii ni kwa sababu yanatumia vipengele kama vile picha zinazoruwazwa kwa upekee wa maneno, taipografia na sitiari muono kinyume na mashairi ya kawaida yanayotumia maneno pekee na sitiari za kiisimu. Vipengele hivi vinatatiza ufasiri na welewa wa maana ya shairi ruwaza. Hivyo, kazi hii inanuia kuyajadili kwa undani huku tukichanganua mashairi teule ambayo yanapatikana katika diwani za kimapinduzi. Lengo la uchanganuzi huu ni kutajirisha stadi za usomaji na ufasiri wa mashairi ruwaza miongoni mwa wanafunzi na walimu wa ushairi wa Kiswahili. Kazi hii inalenga kujadili namna au mbinu za kufasiri sitiari muono katika mashairi haya

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Bertoncini, E. (2010). Some remarks on kithaka wa mberia’s poetry. Swahili Forum 17:94-103

Bohn, W. (1986). The aesthetics of visual poetry. Chicago: Chicago University Press.

Bohn, W. (2011). Reading visual poetry. Maryland: Farleigh Dickinson University Press.

Cormac, E.R. M. (1988). A cognitive theory of metaphor: London: The MIT Press.

Higgins, D. (1987). Pattern poetry: guide to an unknown literature. New York: State University of New York Press.

Kempton, K. (2005). Visual poetry: A brief history of ancestral roots and modern traditions. Carlifonia: Oceano.

Kimalu, P. et al. (2002) A Situational Analysis of Poverty in Kenya, Working Paper No. 2. Nairobi: Kenya Institute for Public Policy Research and Analysis (KIPPRA).

Kinyanjui, K. (1974) The Distribution of Educational Resources and Opportunities in Kenya. University of Nairobi: Institute of Development Studies Discussion Paper No.208.

Ministry of Education & Human Resources Development & World Bank (1995) Access, Equity and Quality of Tertiary Education and Training. Nairobi: Government Printers.

Lakoff, G., & Johnson, M. (1980). Metaphors we live by. Chicago: University of Chicago Press.

Leary, C. (1990). Metaphors in the history of psychology. Cambridge: Cambridge University Press.

Mberia, K. (1997). Mchezo wa karata. Nairobi: Marimba Publications Ltd.

Mberia, K. (2001). Bara jingine. Nairobi : Marimba Publications Ltd.

Phillips, B. J. & McQuirre, E.F. (2004). Beyond visual metaphor: a new typology of visual rhetoric in advertising. Marketing theory vol. 4 (1/2):113-136.

Refaie, E. E. (2003). Understanding visual metaphor: the example of newspaper cartoons. Visual Communication 2 (2003): 75-95

Ricoeur, P. (1981). The metaphorical process as cognition, imagination, and feelings katika M. Johnson (ed) Philosophical perspective on metaphor. Minneapolis: Univerity of Minnesota.

Van Zwanenberg, R. M. A,, & King, A. (1975). An Economic History of Kenya and Uganda 1800-1970. Great Britain: The Macmillan Press.

Van Zwanenberg, R. M. A. (1977). Colonial capitalism and labour in Kenya, 1919-1939. Dar-es- Salaam: Macmillan.

Wamitila, K. W. (2003). Kamusi ya fasihi: istilahi na nadharia. Nairobi: Focus Books.

World Bank. (1995). The East Asian miracle: Economic growth and public policy. New York: Oxford University Press.

Tarehe ya Uchapishaji
28 September, 2022
Jinsi ya Kunukuu
Sangili, N. (2022). Uchanganuzi wa Sitiari Muono katika Mashairi Ruwaza ya Kiswahili. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 5(1), 363-372. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.861