Walengwa wa Ujumbe katika Bembelezi za Watikuu

  • Lina Akaka, PhD Chuo Kikuu cha Catholic University of Eastern Africa
  • Sheila Wandera- Simwa, PhD Chuo Kikuu cha Laikipia
Keywords: Bembelezi, Walengwa, Washiriki, Ujumbe, Watikuu
Sambaza Makala:

Ikisiri

Nyimbo zikiwa za watoto, inatarajiwa kuwa walengwa watakuwa watoto wenyewe kwa kuwa maudhui yaliyomo yatawalenga. Bembelezi zilizotafitiwa katika tamaduni mbalimbali ulimwenguni zinaonyesha kuwa ujumbe uliyomo huwalenga watoto na wakati mwingine, mama na baba zao. Kimsingi, wanawake, kando na kuzitumia katika shughuli za kubembeleza watoto, huzitumia pia kama jukwaa la kujieleza na kutakasa mioyo yao kutokana na uchungu, mtamauko na mfadhaiko wa mawazo uliosababishwa na matatizo ya kindoa kutokana na mifumo ya kibabedume inayoendelezwa katika baadhi ya jamii. Makala hii inachunguza diskosi zinazojitokeza katika bembelezi za Watikuu ili kubaini walengwa wa ujumbe uliomo. Lugha inayotumiwa na wanawake katika uimbaji wa bembelezi hizi inatilia shaka iwapo ujumbe uliomo unalenga tu watoto au mna watu wengine wanaolengwa kando na watoto.

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Abdalla, A. (2012). Sauti ya Dhiki. Nairobi: Oxford University Press. (uk vi)

Doja, A. (2015). Socializing Enchantment: A Socio-Anthropological Approach to Infant Directed Singing, Music Education and Cultural Socialization. In International Review of the Aesthetics and Sociology of Music, JSTOR,45(1),115- 147.

Esteve-Faubel, J. M., Esteve-Faubel, R. P., Cavia-Naya, V., & Benlloch, M. T. O. (2014). Women's Songs: The Lullaby in the Spanish Autonomous Region of Valencia. Western Folklore, 69-116.

Gunes, H., & Gunes, N. (2012). The Effects of Lullabies on Children. In International Journal of Business and Social Science. 3(7), 316 – 321.

Hassan, S. (2010). Female traditional singers in Iraq: A survey. International Journal of Contemporary Iraqi Studies, 4(1-2), 25-39.

Akyol, P. K. (2014). Today’s Lullabies and Lullaby Tradition Shaped by the Effect of Cultural change and Technology. Katika Bilig: Social Sciences Journal, 1(69), 127- 142.

Kaya, S. Ö. & Özkut, B. (2016). The Influence of Developing Technology and Mother’s Songs: Lullabies. In International Journal of Human Sciences, 13(1), 778-786.

Loewy, J., Stewart, K., Dassler, A. M., Telsey, A., & Homel, P. (2013). The Effects of Music Therapy on Vital Signs, Feeding, and Sleep in Premature Infants. Pediatrics, 131(5), 902-918.

Mackinlay, E. & Baker, F. (2005). Nurturing Herself, Nurturing Her Baby: Creating Positive Experiences for First-time Mothers through Lullaby Singing," Women and Music, 9, Pp 69- 89.

Mingazova, L., & Sulteev, R. (2014). Tatar and English Children's Folklore: Education in Folk Traditions. In Western States Folklore Society, 73(4). 410- 431.

Saville-Troike, M. (2003). Ethnography of Communication: An Introduction. 3rdEdition. London: Blackwell Publishing.

Senkoro, F. E. M. K. (2005). Understanding Gender through Genre: Oral literature as a Vehicle for Gender Studies in East Africa. Gender, Literature and Religion in Africa, 4(1), 1-10.

Trehub, S. E., & Prince, R. L. (2002). Mothers as Musical Mentors. Journal of Zero to Three, 23(1), 19-22.

Tarehe ya Uchapishaji
29 Septemba, 2022
Jinsi ya Kunukuu
Akaka, L., & Wandera- Simwa, S. (2022). Walengwa wa Ujumbe katika Bembelezi za Watikuu. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 5(1), 288-296. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.817