Utumikizi wa Mwingilianotanzu katika Fasihi ya Watoto

  • Caroline Nyambura Muriithi Chuo Kikuu cha Mlima Kenya
  • Boniface Ngugi, PhD Chuo Kikuu cha Mlima Kenya
Keywords: Fasihi ya Watoto, Mwingilianotanzu, Riwaya, Habari za Mawio, Maskini Bibi Yangu
Sambaza Makala:

Ikisiri

Tanzu zimeendelea kujidhihirisha katika umbo la riwaya na kuifanya mseto wa mambo mbalimbali. Kutegemeana na kuathiriana kwa tanzu kunaitwa mwingilianotanzu. Fasihi ya watoto imeendelea kukua na kudhihirisha matumizi ya tanzu mbalimbali katika umbo lake na hivyo kuwa changamano. Uchangamano huu unatatiza upokeaji na uelewekaji wa dhima yake, hasa ikizingatiwa kuwa riwaya hizo zinatumika katika mtaala wa elimu nchini. Makala haya yananuia kufafanua ni vipi mwingilianotanzu unavyojisawiri katika vitabu vya fasihi ya watoto. Mifano itatokana na baadhi ya vitabu teule vya fasihi ya watoto ni Habari za Mawio (Masoud Nassor) na Maskini Bibi Yangu! (Said A Mohamed). Mwishowe itapendekeza namna mwingilianotanzu unavyoweza kutumiwa kwa ufaafu zaidi katika uelekezaji wa usomaji na kuuwasilisha ujumbe katika fasihi ya watoto.

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Akoliet, J. (1990). “Response and crtitism in children’s Literature in Kenya. The case of Barbara Kimenye.” M. A. Thesis Kenyatta University.

Bakhtin, M. (1982). The Dialogic Imagination: Four Essays. Mh. Michael Holquist. Tafsiri. Caryl Emerson na Michael Holquist. Austin: University of Texas Press.

Bakize, L. (2014) Utangulizi Wa Fasihi ya Watoto. Dar es Salaam. Moccony Printing Press. UK 24.

Barthes, R. (2007). ‘From Work to Text. ’ Katika B. Das na J. M. Mahanty (wah), . Literary critism: A Reading (uk. 413-420). New Delhi: Oxford University Press. UK 413-420.

Barthes, R. (2002). 'The Death of The Author'. Katika Philip Rice na Patricia Waugh (wah.). Modern Literary Theory. New York: Arnold. uk.185-189.

Bloom, H. (1994). The Western Canon. New York: Harcourt Brace and Company.

Cass, J. (1967). Literature and the Young Child. London: Longman Group Ltd.

Chogero, B. (1971), The Socio-Economic Implications of Utani in Jita Society. Dar es Salaam University Press.

Davies, A. 1973. Literature for Children. Portsmouth: Open University Press.

Eagleton, T. (1983). Literary Theory: An Introduction. Oxford: Basil Blackwell.

Finnegan, R. (1970). Oral Literature in Africa. Nairobi. Oxford University Press.

Foucault, M. (1974). The Archeology of knowledge. London: Tavistock.

Habwe, J. H. (2010). Dialogue drama in Kenyan political speeches and its pragmatic implications. Nordic journal of African studies, 19(3), 16-16. Habwe. J. (2010) ‘Dialogue Drama in Kenyan political speeches and its pragmatic implication: katika Nordic Journal of African studies 19(3). Hersinki: Nordic Association of African Studies (NAAS). UK. 165-180.

Haji, M. (2006), Vipera vya Fasihi Simulizi, Central Publishing Services Tanzania, Zanzibar.

Harries. L. (l962) Swahili Poetrv. Oxford. Clarendon Press.

Herman, L. (2011). “Dhima ya mwingilianomatini kwenye Hadithi za watoto katika Kiswahili, ” katika kioo cha lugha, Juz. 9, Kur. 73-83.

Hunt. P. (1994). An Introduction to Chidren’s Literature. Oxford: University Press.

Jan, J. (1969). Children is Literature. London: Trinity Press.

Kehinde. A. (2003). ‘Intertextuality and The Contemporary African Novel. Nordic Journal of African Studies, 12(3), 372–386’ katika Nordic Journal of African Studies 12(3). Helsinki: Nordic Assoication of African studies (NAAS). UK 372-386.

Kothari, C. (2004). Research methodology: Methods and techniques. New Age International.

Kristeva, J. (1980). Desire in language: A Semiotic Approach to Literature and Art. New York: Columbia University press.

Kyando, A.S.J. (1973), The Kinga, URT, Vol.II, Dar es Salaam University Press.

Lukas, G. (1972). Studies in European Realism. A sociological survey of writings of Balzaac, Stredhal, Zola, Tolistoy, Govki and others. London: Marlin Press.

Marete, J. (1994). Ujadi katika tamthilia mbili za Emmanuel Mbogo. Tasnifu ya Uzimili (Haijachapishwa)

Matei, K.A. (2011). Fani ya Fasihi Simulizi kwa shule za upili. Nairobi. Oxford University

Mishra, R. K. (2012). 'A Study of Intertextuality: The Way of Reading and Writing'. Katika Prime Journals.

Mlacha, S. A. K. (1985). Kiswahili katika Kanda ya A Frika Mashariki. Dar es Salaam.

Wamitila, K. (2010). Kanzi ya Fasihi (1): Misingi ya uchanganuzi wa Fasihi. Nairobi: vide- Muwa Publisher Limited.

Mpesha, N. (1995). “Chidren’s Literature in Tanzania: A Literary Appreciation of its Growth and Development.” PhD Thesis, Kenyatta University.

Mulokozi, M. M. (2018). Tanzu za fasihi simulizi. Mulika Journal, 21(1), 1-24. Mulokozi, M. (1989). “Tanzu za fasihi simulizi.” Katika, mulika. Na 21. Dar es Salaam. Taasisi ya uchunguzi wa kiswahili, Kur. 1-24.

Mwanzi, H. (1982). “Children’s Literature in Kenya. An analysis of children’s prose fiction.” M. A. Thesis, University of Nairobi.

Mzandi, M. (2011), “Nafasi ya Utani Msibani na Harusini kwa Kabila la Wadigo”.Ripoti ya Utafiti kwa Ajili ya Shahada Umahiri Chuo Kikuu cha Dodoma, (Haijachapishwa).

Ngugi, P. (2011). “Ufundishaji wa fasihi ya watoto katika shule za msingi Nchini Kenya. ” Katika kioo cha lugha, Juz. 9, Kur. 84-94.

Njogu, K. na Wafula, R. (2007). Nadharia za uhakiki wa fasihi. Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation.

Njogu, K. na Chimerah, R; (1999): Ufundishaji wa Fasihi Nadharia na Mbinu. Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation Ltd.

Ogacho, O. (1974), Grandparent-Grand Children Utani, URT, Vol.III, Dar es Salaam University Press.

Sengo, T.S. na Lucas (1975), Utani wa Jamii ya Wakwere, Nairobi Foundation Book Limited, Nairobi.

Tucker, N (1981). The child and the BOOK: A Psychological and Literary Exploration. Cambridge: Cambridge University Press.

TUKI (2004), Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Oxford University Press, Nairobi

Wamitila, K. (2002). Uhakiki wa Fasihi: Misingi na vipengele vyake. Nairobi: Phoenix Publishers Ltd.

Wamitila, K. (2003 a). ‘Influene or intertextuality? A comparative study of Kezilahabi’s Nagona and Mzingile and Juan Ruifo’s Pedro Paroma’ Katika KISWAHILI vol. 66. Dar es Salaam.’ TUKI. uk 49-58.

Wamitila, K. (2003). Kamusi ya Fasihi, Istilahi na Nadharia. Nairobi: Focus Books.

Wamitila, K. W. (2003a). Influence or intertextuality? A comparative study of Kezilahabi’s Nagona and Mzingile and Juan Ruifo’s Pedro Paroma'. Kiswahili, 66, 49-58.

Wanyela. S. (2007) Matumizi ya ushairi katika tamthilia ya Kiswahili. Tasnifu ya Uuzamili (Haijachapishwa). C, chuo kikuu cha Kenyatta (Haijachapishwa).

Tarehe ya Uchapishaji
15 October, 2021
Jinsi ya Kunukuu
Muriithi, C., & Ngugi, B. (2021). Utumikizi wa Mwingilianotanzu katika Fasihi ya Watoto. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 4(1), 1-11. https://doi.org/10.37284/jammk.4.1.439