Taswira ya Mwanamke katika Kipindi cha Bi. Msafwari Runinga ya Citizen Nchini Kenya.

  • Janet Jepkurui Kibet Chuo Kikuu cha Katoliki
  • Rebecca Wanjiru Omollo, PhD Chuo kikuu cha Katholic
  • Rose Mavisi, PhD Chuo kikuu cha Katholic
Keywords: Taswira ya Mwanamke, Mwanamke, Bi. Msafwari, Runinga ya Citizen, Ufeministi
Sambaza Makala:

Ikisiri

Utafiti huu unalenga kuchunguza na kutathmini taswira ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya kwa mtazamo wa kifasihi. Utafiti huu uliongozwa na lengo lifuatalo: Kueleza nafasi ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya. Nadharia iliyotumika katika utafiti huu ni nadharia ya Ufeministi mathalani Ufeministi wa Kiafrika na nadharia ya mtindo. Nadharia ya Ufeministi ilifaa utafiti huu kwa kuwa inashughulika na masuala ya kijinsia hasa jinsia ya kike. Muundo wa kimfano ulitumika katika uchanganuzi wa utafiti huu. Utafiti huu ulijikita katika maktabani ili kupata maandishi yanayohusiana na mada iliyoshughulikiwa. Kutokana na maelezo haya, kundi lengwa la utafiti ni kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen. Sampuli iliyotumika ni sampuli ya kimaksudi ambayo kipindi cha Bi. Msafwari kiliteuliwa.  Utafiti huu ulitumia mbinu ya kutazama, kusikiliza na kurekodi vipindi katika kukusanya data yake. Matokeo ya utafiti yalijitokeza wazi kuwa, nafasi ya mwanamke ni: kumfurahisha mume wake, kumsaidia mume wake, kutii, kumheshimu na kunyenyekea mbele ya mume. Pia ana nafasi ya kudumisha amani katika ndoa. Ukusanyaji na uchanganuzi wa data, uwasilishaji wa matokeo ulifanywa kwa njia ya maelezo. Utafiti uliofanywa utawafaa watafiti wengine watakaojishughulisha na mada inayohusu mwanamke kwani wataweza kurejelea kazi hii ili kupata habari kuhusu nafasi ya mwanamke. Kwa ujumla, utafiti uliyofanywa ulichunguza taswira ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari.

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Adeola, J. (1990). In Theire Own Voices. African Women Writers Talk London. James Curren Limited.

Africa Gender Equality Index, (2015). Empowering African Women: An Agenda for Action- African Development Bank Group: African Development Bank.

Bi. Msafwari. ( 3/9/2016). Mawaidha na Bi. Msafwari: Uzuri wa Nyumba ni Mlango? Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (1/10/2016). Mawaidha na Bi. Msafwari: Majukumu ya Mwanamke.Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (1/5/2021). Mawaidha na Bi. Msafwari: Dalili gani zakuonyesha mwanandoa yuko hatarini? Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (1/9/2018). Mawaidha na Bi. Msafwari: Mke kumtunza Mume. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (10/2/2018). Mawaidha na Bi. Msafwari: Maswali na Mawaidha ya Bi. Msafwari. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (12/6/2021). Mawaidha na Bi. Msafwari: Je, pesa zake ni zake na zangu ni zetu? Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (13/1/2018). Mawaidha na Bi. Msafwari: Vigezo vya wanaume kuhusu ndoa. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (14/11/2020). Mawaidha na Bi. Msafwari: Ni nini huchangia usaliti na mipango ya kando? Runinga ya Citizen. Kenya.

Bi. Msafwari. (14/4/2018). Mawaidha na Bi. Msafwari. Mjakazi kumkosoa mke mwenye nyumba. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (17/9/2016). Mawaidha na Bi. Msafwari: Kwa nini Wanawake Wanaenda Nje ya Ndoa. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (18/2/2017). Mawaidha na Bi. Msafwari: Kwa nini mwanaume haridhiki na Mke Mmoja. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (21/11/2020). Mawaidha na Bi. Msafwari: Nini maana ya usafi kwa wanandoa. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (22/5/2021). Mawaidha na bi. Msafwari: Kulea watoto wa kambo. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (22/6/2019). Mawaidha na Bi. Msafwari: Maswali kuhusu Masuala ya ndoa. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (23/3/2019). Mawaidha na Bi. Msafwari: Mbinu za kuboresha ndoa. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (25/3/2017/). Mawaidha na Bi. Msafwari: Chanzo cha Kuvunjika kwa ndoa za sasa. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (26/5/2018). Mawaidha na Bi. Msafwari: Mwanamke mwenye hekima na mpumbavu ni yupi? Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (26/6/2021). Mawaidha na Bi. Msafwari: Katika ndoa ni vipi vya kusemwa na vipi vya kuwekwa chini ya maji. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (29/4/2017). Mawaidha na Bi. Msafwari: Athari za pesa kwenye ndoa.Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (3/6/2021). Mawaidha na Bi. Msafwari: Je, kumshukushuku mpenzi wako ndiyo ishara ya kumpenda? Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (31/10/2020). Mawaidha na bi. Msafwari: Zipi sifa za Husband material? Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (4/8/2018). Mawaidha na Bi. Msafwari: Kisa cha kuachwa na mume. Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (5/6/2021). Mawaidha na Bi. Msafwari: Ni kosa kujuana na mtu mtandaoni ilhali soko zote zimeingia mtandaoni? Runinga ya Citizen, Kenya.

Bi. Msafwari. (9/3/2020). Mawaidha na Bi. Msafwari: Katika ndoa, ni vitu gani huchukiza wanaume? Runinga ya Citizen, Kenya.

Buffon, G. (1930). Buffon’s Discourse on Style. Paris Librairie: Hatier publishers.

Creswell, J. (2009). Mapping the field of mixed methods research.

European Union, (2021). 2021 report on gender equality in Europe. Imetolewa kwa https://ec.europa.eu

Irib World Service. (2014). Matatizo ya Mwanamke katika ulimwengu wa Magharibi. Imetolewa kwa www.kiswahili.irib.irib.ir/38823.

Kasuma, R. (2014). Uchanganuzi wa uhusiano wa kijinsia katika vipengele vya tamthilia za Kilio cha haki na Sudana. Tasnifu ya uzamili. Chuo kikuu cha Egerton.

Kawia, M. (2015). Kuchunguza Usawiri Chanya wa Mwanamke Katika Vitendawili vya Jamii ya Wanyiha (Doctoral dissertation, The open University of Tanzania).

Kombo, D. K. Na Tromp, D. L. (2006). Poposal and Thesis Writing: An Introduction.Nairobi: Paulines Publications Africa.

Kothari, C. (2004). Research Methodology, Methods and Techniques. Second Edition. New Delhi: Wiley Eastern Limited

Lantara, N. F. (2015). The roles of woman as leader and housewife. Journal of Defense Management, 5(01).

Leech, G. (1969). A Linguistic Guide to Mordern English Poetry. Essex: Longman Group Ltd.

Mavisi, R. (2007). Usawiri wa wahusika wa kike katika kazi za zainabu Burhani. Doctoral dissertation.

Mrikaria, S. (2011). Usawiri wa Mwanamke katika Nyimbo za Kizazi Kipya .Kioo cha Lugha. 9 (1), 122-143.

Mugenda, O. M. & Mugenda, A. G. (2003). Research Method, qualitative and quantitative approaches. Nairobi: Acts press.

Murungi, G. (2013). Mtindo unavyoendeleza Maudhui katika Natala. Tasnifu ya Uzamili Chuo kikuu cha Nairobi.

Muthuria, M. (2009). Maadili ya Utafiti. Chuo kikuu cha Masaai Mara

Njogu, K. na Wafula, R. (2007). Ufundishaji wa fasihi. Nairobi.: Jomo Kenyatta Foundation.

Ntaragwi, M. (2004). Uhakiki wa kazi ya Fasihi. Rock Island: Augustana College of Wisconsin Press, Madison, WI.

Oiko, F. (2017). Uhakiki wa mtindo katika Tamthilia za Timothy arege. Tasnifu ya uzamili chuo kikuu cha Maasai Mara.

Ramton, M. (2015). Four waves of Feminism. Percific University. Imetolewa kwa http://www.pacificu.edu/about-us/news-events.

Saro, S. (2017). Kuchunguza Usawri wa mwanamke katika Riwaya: mfano wa Riwaya ya Utengano. Tasnifu ya Uzamili. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Sawe, A. (2018). Usawiri wa mwanamke katika ndoa: mifano kutoka utendi wa mwanakupona, utendi wa Ayubu na Matini Teule za kidini. Tasnifu ya uzamifu. Chuo Kikuu cha Moi.

Sawe, A. Makoti, V. na Obuchi, S. (2016). Taswira ya mwanamke katika ndoa mintarafu utendi wa mwanakupona. Mara Research journal of Kiswahili: The African Premier Research Publishing Hub.

Simpson, P. (2004). Stylistics: A Resource Book for Students. London Routledge.

Steady, F. (1981). The Black African Cross – Cultuary. Cambridge: Schenkman Publishing Company.

Wamitila, K. W. (2003). Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia: Nairobi Focus Publishers.

Wanjala,F. S. (2020). Safina ya Utafiti wa Fasihi Simulizi. Elgon Epitome Publishers Ltd.

Tarehe ya Uchapishaji
5 October, 2021
Jinsi ya Kunukuu
Kibet, J., Omollo, R., & Mavisi, R. (2021). Taswira ya Mwanamke katika Kipindi cha Bi. Msafwari Runinga ya Citizen Nchini Kenya. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 3(1), 132-148. https://doi.org/10.37284/jammk.3.1.430