Leksia katika Diskosi za Wabunge Wanawake kutoka Bunge la Taifa Zinazojenga Utambulisho Kuhusiana na Mamlaka
Ikisiri
Diskosi za kisiasa hufanya kazi kubwa katika kujenga na kuidhinisha utambulisho wa mwanasiasa, utambulisho wa kikundi chake na uanachama wake. Kupitia lugha, wanasiasa utambulisho wa mwanasiasa na ushirika wao kwa kikundi unaweza kugunduliwa kupitia upeaji wa kiutambulisho. Peo ya utambulisho hukuza imani na ukubalifu wa mzungumzaji kwa wasikilizaji wake. Upeaji wa utambulisho, hutegemea uteuzi na utumiaji wa leksia maalumu. Utafiti huu umechunguza upeaji wa kiutambulisho katika diskosi za wabunge wanawake kutoka Bunge la Taifa nchini Kenya. Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchunguza leksia zilizotumika katika upeaji wa utambulisho kwenye diskosi za wabunge wanawake. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Uchanganuzi wa Peo na mtazamo wa Uchanganuzi Hakiki-Makinifu wa Usemi. Nadharia hizi zilitumika kutathmini namna leksia zilizotumika kujenga utambulisho wa jinsia kuhusiana na mamlaka. Chanzo cha data katika utafiti huu; ni video kutoka mtandao wa YouTube ambazo zilikuwa na hotuba zilizowasilishwa kwa umma na wabunge wanawake 169, waliochaguliwa na wananchi katika bunge la 11, 12 na 13 la taifa la Kenya, zilihifadhiwa. Wasailiwa hao ni wanawake 111 wanaowakilisha kaunti pamoja na wanawake 58 waliochaguliwa kuwakilisha maeneobunge mbalimbali katika Bunge la Taifa. Mbinu ya utafiti iliyotumika kukusanywa data ilikuwa utazamaji na usikilizaji wa sauti ninga kutoka kwa mtandao ya YouTube. Utafiti huu umebaini kuwa, matumizi ya kiisimu ya leksia kwenye diskosi za wabunge wanawake hujenga utambulisho kuhusiana na mamlaka, kuambatana mamahitaji ya kibinafsi na kikundi. Leksia katika diskosi za wabunge wanawake, zilitambulisha wanawake katika kiwango cha kibinafsi, kieneo na kimakundi. Kwa hivyo, upeaji wa utambulisho ulidhihirisha migao wa kibinafsi, kimaeneo, kimahusiano, kiutendaji na kimakundi katika ujenzi wa utambulisho wa wanawake.
Upakuaji
Marejeleo
Afolabi, T. na Gabriel, F. (2025). Sòrò-Sókè: A Framing Analysis of Creative Resistance During Nigeria’s #EndSARS Movement Journal of Media, 6(2), 69; https://doi. org/10.3390/ journalmedia6020069
Al-Hathloul S., na Mughal, A. (1999). Creating identity in new communities: case studies from Saudi Arabia. Journal of Landscape and Urban Planning, Volume 44, (4) Pp 199-218. https://doi.org/10.1016/S0169-2046(99)00010-9
Balla, A. (2023). Discourse Analysis of Female Political Speeches: A Study of Linguistic Techniques and Devices; Article in Theory and Practice in Language Studies, 13 (2) pp 3208-3216. https://doi/10. 1750745/tpls.1312.18
Benford, R. D., na Snow, D. A. (2000). Framing processes and social movements: An Overview and Assessment. Annual Review of Sociology, 26, 611–639
Berger, P., na Luckman, T. (1966). The Social Construction of Reality: A Treatise in the Sociology of Knowledge. Doubleday & Company, New York
Brader, T. (2006). Campaigning for Hearts and Mind: How Emotional Appeals In Political Ads Work. Chicago, IL the University of Chicago Press: Doi: 10. 1017/S1537592706400475
Brewer, Marilynn B., Gardner, Wendi, 1996. Who is This “we”? Levels of collective identity and self-representations. Journal of Personality and Social Psychology 71(1), 83–93.,
Burkes, P. na Stets, E. (2003). Sociological Approach to Self-identity. Mark Leary and June Tangney (Ed.), Handbook of self and identity, Guilford Press. New York
Christof, V. M. (2018). Exploring explanations for the gender gap in study abroad: a case study of the Netherlands. Journal of Biosocial Science, 54 (6), DOI:10.1007/s10734-020-00671-7
Collier, M. (2003). Understanding cultural identities in intercultural communication: A ten-step inventory. Routledge.
Dickie (2011). Onomastic Aspects in African Names: Names from the Africa Continent for Children and Adults. New York
Fairclough, N. (2001). Language & Power, Second Edition, Longman – Pearson Education
Fairclough, N. (2003). Analyzing Discourse: Textual Analysis for Social Research / N. Fairclough. Lancaster University
Goffman, E. (1974). Frame Analysis: An Essay on the Organization of Experience. Cambridge, MA: Harvard University Press.
Greenberg, S. (1980). African Names: Names from the Africa Continent for Children and Adults. New York
Habwe, J. (1999). Discourse Analysis in Swahili Political Speeches. Ph.D Thesis [Unpublished] Chuo Kikuu cha Nairobi.
Hallahan, K. (1999). Seven models of framing: implications for Public. Relations Journal of Public Relation Research. Doi.org/10.1207/ s1532754 xjprr 1103 02
Harris, L. (2020). Committing Before Cohabiting: Pathways to Marriage Among Middle-Class Couples. Journal of family’s issue; Volume 42, Issue 8 https://Doi.org/10.1177 /0192513 X20957049
Hecht, W., Michael, L., Jennifer R., Jung, E., Krieger, J., (2005). A Communication Theory of Identity: development, theoretical perspective, and future 25 Directions. In: Gudykunst, W.B. (Ed.), Theorizing about Intercultural Communication. Sage, Thousand Oaks, pp.257–278.
Herson, M. & Thomas, J. C. (2003). Understanding research in clinical and counseling psychology. Lawrence Erlbaum Associates Publishers
Hogg, M. A. (2000). Social identity and social comparison. In J. Sul’s & L. Wheeler (Eds.), Handbook of social comparison: Theory and research (pp. 401–421). Kluwer Academic Publishers. https://doi.org/10.1007/978-1-4615-4237-7_19
Indede, F. (2011). Mwanamke Angali Tata Katika Ushairi wa Kisasa. Academic Journal. Swahili forum 18 (2011)-163-197
Iyengar, S., 1996. “Framing responsibility for political issues.” The ANNALS of the American Academy of Political and Social Science 546: 59–70.
Lwanga, C., Sabiti, I., Fuseini, K., Wandera, S., Mang’ombe, K na Maniragaba, F. (2021). Is cohabitation as a form of union formation a licence to intimate partner physical violence in Uganda? Cambridge University Press: London.
Logan, D.L. (2011). A First Course in the Finite Element Method. 5th Edition, Cengage Learning, Essex County, New Jersey.
Karuri, M. N. (2016). Representation of Political Conflict in Kenyan Newspaper Discourse [Unpublished] Ph.D. thesis Chuka University.
Ketering Foundation Report (2011). We Have To Choose: Democracy and Deliberative Politics. Dayton OH New York.
Kibet, J., K., Omollo, R. W. Mavisi, R. (2021). Taswira ya Mwanamke katika Kipindi cha Bi. Msafwari Runinga ya Citizen Nchini Kenya. Chuo kikuu cha Catholic. Doi.org/10.37284/eajss.3.1.430
Kyriacou, A. (2008). Defining Accountability Universitat de Girona, Stockholm.
Kunyaluck, K. (2018). The Use of Personal Pronoun in Political Discourse: A Case Study of the Final 2016 United States Presidential Election Debate * reflection Vol 25, No.1, pp 85-95
Lee, M. (2015). The Promise of the Maker Movement for Education Journal of Pre-College Engineering Education Research (J-PEER) 5 (4) pp 22-31. https://doi.org/ 10.7771/2157-9288.1099
Lwaitama, A. (1988). Variations in the Use of Personal Pronoun in the Public Oratory of J.K Nyerere and A.H. Mwinyi. Www. Researchgate.net
Mathes, J., na Kohring, M. (2008). The Content Analysis of Media Frames: Toward Improving Reliability and Validity: Journal of Communication 58(2) DOI:10. 1111 /j.1460-2466.2008. 00384.x
McQuillan, J., Greil, A. L., Shreffler, K. M., & Tichenor, V. (2008). The importance of motherhood among women in the contemporary United States. Gender & Society, 22(4), 477–496
McQuillan, J., Hill, P., Telbert, E., Spiegel, A., Gauthier, G., Diamond, J. (2017). Science Possible Selves and the Desire to be a Scientist: Mindsets, Gender Bias, and Confidence during Early Adolescence (pp. 123-148). Routledge.
Moskowitz, G., Okten, O., & Schneid, E. (2023). The updating of first impressions. In E. Balcetis & G. B. Moskowitz (Eds.). The handbook of impression formation: A social psychological approach, Blackwell, Oxford.
Mutegi, D. (2024). Mifumo ya Ujinaishaji ya Wameru: Uchunguzi Tarafani Mwimbi katika Jimbo la Tharaka Nithi, Kenya. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 7(1), 359-370. https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.2100
Otieno, S. J. (2012). Politics of Identity and Ideology, Political Oratory of Raila Odinga and The Manifesto of the Orange Democratic Movement, (ODM) Tasnifu Ya M.A. (Haijachapishwa) Chuo Kikuu Cha Nairobi
Reicher, S., Haslam, A., & Platow, J. (2018). Shared social identity in leadership. Current Opinion in Psychology, 23, 129–133. https://doi.org/10. 1016/j copsyc. 2018.08.006.
Schimidt, E. (2023). The updating of first impressions. In E. Balcetis & G. B. Moskowitz (Eds.), The handbook of impression formation: A social psychological approach (pp. 348–392). Routledge.
Seyranian, V. & Bligh, M. (2008). Presidential charismatic leadership: Exploring the rhetoric of social change. The Leadership Quarterly, 19(1), 54–76. https://doi.org/ 10.1016/j.leaqua.2007.12.005
Simon, B. (2004). Identity in Modern Society. A Social Psychological Perspective. Blackwell, Oxford.
Smith, R. (2000). Assimilative and contrastive emotional reactions to upward and downward social comparisons. In J. Sul’s L. Wheeler (Eds.), Handbook of social comparison: Theory and research (pp.173 -200). New York: Plenum
Snow, D., Soule, S. Kriesi, H., & Benford, R. (1986). Frame disputes within the nuclear disarmament movement. Social Forces 71(3): 677–701
Sosoo, F. (2018). Ushujaa katika Motifu ya Safari na Msako: Ulinganishi wa Ngano za Kiewe kutoka Ghana na Riwaya za Shaaban Robert kutoka Tanzania. Tasnifu ya Uzamifu (Haijachapishwa). Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dar es Salaam.
Swann, W., Rentfrow, P. na Guinn, S. (2003). Self Verification: The search for Coherence in M.R. Leavy & J.P. Tangney (Eds.) Handbook on Self and Identity (pp367-383. New York, N.Y. Goldford Press Thomas
TATAKI (2000). Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Oxford University Press. Nairobi.
Thomas, J., na Ely, T. (1996). The search for Coherence in M.R. Handbook on Self and Identity New York, N.Y. Goldford Press
Van Dijk, T. (2006). Discourse and Manipulation. Discourse & Society, 17,359-383. https://doi.org/10.1177/09 5792650 6060250
Veselá, J. (2021). Persuasive strategies in political speeches: A contrastive analysis of Barack Obama’s and Donald Trump’s Electoral Speeches (Doctoral dissertation). Masaryk University
Wamitila, K. (2003). Kamusi ya Fasihi, Istilahi na Nadharia. Nairobi: Focus Publication.
Williams, R. (2004). The cultural contexts of collective action: constraints, opportunities, and the symbolic life of social movements. In D. Snow, S. Soule, & H. Kriesi (Eds.), The Blackwell Companion to Social Movements (pp. 91-115). Oxford: Blackwell Publishing
Yanow, D. (2009). Ways of knowing: Passionate humility and reflective practice in research and management. American Review of Public Administration, 39, (2) 579-601
Copyright (c) 2025 Nkanga Misheck, Mwembu Kimathi, PhD, Micheni Mutegi

This work is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License.