Mwingilianomatini kama Upekee wa Mtindo wa Emmanuel Mbogo: Mifano Kutoka Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo

  • Hadija Jilala Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Keywords: Mwingilianomatini, Mtindo, Upekee, Matini
Sambaza Makala:

Ikisiri

Makala haya yanahusu mwingilianomatini kama upekee wa mtindo wa Emmanuel Mbogo kwa kurejelea tamthiliya zake mbili: Ngoma ya Ng’wanamalundi (1988) na Fumo Liongo (2009). Lengo la Makala haya ni kuibua upekee wa kimtindo wa Emmanuel Mbogo kupitia matumizi ya mwingilianomatini kwa kuangazia tamthiliya zake mbili alizoandika kwa kupishana muongo mmoja. Data zilikusanywa kwa kutumia mbinu mbili za ukusanyaji data ambazo ni usomaji makini na usaili. Aidha, nadharia ya mwingilianomatini imetumika katika kuchambua na kujadili data. Makala haya yanajadili kuwa matumizi ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo yanadhihirisha upekee wake wa kimtindo katika utunzi wake. Hili linajidhihirisha katika matumizi ya hadithi, ngoma, nyimbo, majigambo, wahusika wa fasihi simulizi, ushairi na nguvu za sihiri. Hivyo, makala haya yanahitimisha kuwa kila mtunzi ana upekee wake katika utunzi na uandishi wa kazi za fasihi, upekee huu hujidhihirisha katika uteuzi wa mtindo ambao unajirudiarudia katika kazi zake

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Allen, G. (2000). Intertextuality, Routledge, London.

Bakhtin, M.M. (1984). Problems of Dostoevskys Poetics, Minneapolis: University of Minnesota Press.

Boaz, B. Z. (1974). Mwanamalundi: Mtu Maarufu katika Historia ya Usukuma, Wizara ya Elimu ya Taifa, Dar es Salaam, Tanzania

Fairclough, N. (1992). Discourse and Social change. Cambridge: Polity press.

Herman, L. (2011). Dhana ya Mwingilianomatini kwenye Hadithi za Watoto katika Kiswahili, Kioo cha Lugha: Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Kristeva (1969). Desire in Language: A Semiotic Approach to Literature and Art. Translated by

Leon Roudiez. New York: Columbia University Press,

Kristeva, J. (1980). Desire in Language: A Semiotic Approach to Literature and Art, Columbia University Press, New York.

Kristeva, J. (1984). Revolution in Poetic Language. (Trans. Margaret Waller, Intr. Leon S. Roudiez), Columbia UP, New York. 325 M. Zengin

Kristeva, J. (1986). The Kristeva Reader. (Ed. Toril Moi), Columbia University Press, New York.

Lemanster, T. (2012). What is intertextuality, Great World Text: A programme of the Centre for Humanities, University of Wisconsin- Madson, Wisconsin.

Mbogo, E. (2009). Fumo Liongo, Dar es Salaam University Press, Dar es Salaam.

Mbogo, E. (1988), Ngoma ya Ng’wanamalundi, Education Services Centre Ltd, Dar es Salaam

Macha, N (2013). Matumizi ya mtindo wa Mwingilianomatini

Moi, T. (1986). Introduction; The Kristeva Reader, Columbia University Press, New York.

Mulokozi, M. M (1996). Fasihi ya Kiswahili, Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Dar es Salaam.

Mutembei, K.A. (2012). Korasi katika Kiswahili: Nadharia mpya ya Uhakiki, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam.

Mningo, R. (2015). Thathmini ya Mwingilianomatini katika Utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti Linganishi wa Tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo. Tasnifu ya MA. Kiswahili. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Dar es salaa,

Samwel, M. (2012) Hadithi Fupi: Nadharia, Mbinu na Mifano, Dar es Salaam: Kasenyenda Tanzania

Senkoro, F.E.M.K (2011). Fasihi: Mfululizo wa Lugha na Fasihi, KAUTTU, Dar es Salaam.

TUKI. (1999). Tenzi Tatu za Kale: Fumo Liongo, Al – Inkishafi, Mwanakupona, Taasisi Uchunguzi wa Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania

TUKI, (2013). Kamusi ya Kiswahili Sanifu (toleo la 3) Oxford University Press, Nairobi.

Wamitila, K.W. (2002). Uhakiki wa Fasihi: Misingi na Vipengele vyake, Phoenix Publishers Ltd, Nairobi

Wamitila, K.W. (2003). Kamusi Fasihi: Istalahi na Nadharia, Focus Publication Ltd, Nairobi, Kenya.

Wamitila, K.W. (2008). Kanzi ya Fasihi: Misingi na Uchambuzi wa Fasihi, Daisy Printers (K) Ltd, Nairobi, Kenya.

Worton, M. & Still, J. (1990). Introduction, Intertextuality: Theories and Practices, Manchester UP, Manchester and New York, pp. 1-44.

Tarehe ya Uchapishaji
22 February, 2024
Jinsi ya Kunukuu
Jilala, H. (2024). Mwingilianomatini kama Upekee wa Mtindo wa Emmanuel Mbogo: Mifano Kutoka Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 7(1), 98-113. https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1770