Sifa Za Wahusika Za Kisimulizi Katika Ngano Za Wachuka

  • Rebecah Wanja Kirimi Chuo Kikuu cha Chuka
  • Martin Mugambi Allan Chuo Kikuu cha Chuka
  • Onesmus Gitonga Ntiba Chuo Kikuu cha Chuka
Keywords: Uhusika, Ujumi, Ngano Za Wachuka
Sambaza Makala:

Ikisiri

Makala haya yanalenga kujadili sifa za wahusika wa kisimulizi zilivyoendelezwa kiujumi katika ngano simulizi za Wachuka, kwa kuongozwa na nadharia ya Ujumi wa Kinudhuma inayotetea upekee wa kiujumi wa kazi za kisanaa. Madhumuni ya Makala yalikuwa kuchanganua sifa za wahusika wa kisimulizi katika ngano za Wachuka na namna wanavyoendeleza ujumi katika ngano husika. Makala haya yalibaini kwamba wahusika katika ngano za wachuka hugawika mara mbili yaani wahusika wawi na wahusika wema ili kujenga ujumi katika ngano. Mbinu elezi ilitumika kuwasilisha na kuchanganua data

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Bakhtin, M. (1981). The Dialogic Imagination (C. Emerson & M. Holquist, Trans.)

Foley, J. M. (1995). The Singer of Tales in Performance. Bloomington and Indianapolis

Hymes, D.H. (1970). Linguistic method in ethnography: Its development in the United States. In P. Garvin (Ed.), Method and theory in linguistics. The Hague: Mouton.

Harmon W., & Holman, H. (2000). A Handbook of Literature ( 8th Edition) . Upper Saddle River: Prentice Hall.

Hegel, G. (1997). Introduction to Aesthetics. London: Oxford University Press.

Madumulla, J. (2011). Riwaya ya Kiswahili: Nadharia, Historian a Misingi ya Uchambuzi. Dar es Salaam: Mture Educational Publishers.

Mathooko, P.M (2006). Fasihi Simulizi: Chombo Hifadhi cha Lugha za Kiafrika. Katika K. Njogu, Momanyi C & Mathooko P.M (wah), Fasihi Simulizi ya Kiswahili. Nairobi: Twaweza Communications

Mutiso, K. (2005). Utenzi wa Hamziyyah (The Hamziyyah Epic. A Detailed Analysis of a Swahili Islamic Epic). Institute of Kiswahili Research, University of Dar-es-Salaam, Dar-es-Salaam, 2005; 360+ 15 pp.

Njogu, K., & Chimerah, R. (1999). Ufundishaji wa Fasihi: Nadharia na Mbinu. Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation .

Wamitila, K. (2002). Uhakiki wa Fasihi, Misingi na Vipengele Vyake. Nairobi: Phoenix Publishers.

Wamitila, K. (2003). Kamusi ya Fasihi : Istilahi na Nadharia . Nairobi: Focus Publications.

Wamitila, K. (2003). Kichocheo cha Fasihi Simulizi na Andishi. Nairobi: Focus Books.

Simala, I. (2006). Fasihi Simulizi Katika Enzi za Utandawazi katika. In Njogu et al, Fasihi Simulizi ya Kiswahili (pp. 11-18). Nairobi: Nairobi Twaweza Communications

Tarehe ya Uchapishaji
27 September, 2023
Jinsi ya Kunukuu
Kirimi, R., Allan, M., & Ntiba, O. (2023). Sifa Za Wahusika Za Kisimulizi Katika Ngano Za Wachuka. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 6(1), 350-361. https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1467