Uhakiki Linganishi wa Kanuni za Mifanyiko ya Vivumishi vya Luganda na Kiswahili Sanifu

  • Martin Mulei Chuo Kikuu cha Mountains of the Moon
Keywords: Kanuni, Vipashio Vya Kimofosintaksia, Mifanyiko, Athari Za Mwingiliano, Ubia Na Upatanifu
Sambaza Makala:

Ikisiri

Uwiano  na tofauti za kanuni za matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia baina ya lugha asili na Kiswahili umeripotiwa kusababisha athari za mwingiliana katika matumizi ya Kiswahili. Luganda na Kiswahili ni lugha za Kibantu ambazo huzingatia kanuni katika matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia. Lugha hizi za Kibantu, hudhihirisha upekee wa mfumo katika matumizi ya vivumishi kimofosintaksia. Utambuzi wa kanuni za kimofosintaksia ni msingi katika matumizi ya vivumishi vya Luganda na Kiswahili sanifu. Kwa hiyo, makala hii inadhamiria kueleza jinsi kanuni za mifanyiko ya vivumishi vya Luganda hufanana na kutofautiana na za Kiswahili kimatumizi. Kwa kuzingatia mihimili ya Ubia na Upatanifu ya Chomsky (1981), data za matumizi ya kanuni za vivumishi zilikusanywa maktabani kupitia kwa usomaji na uhakiki wa maandishi. Inatarajiwa kuwa utambuzi wa kanuni za mifanyiko ya vivumishi, michango ya kanuni za lugha asili katika ujifunzaji wa Kiswahili, utaweka mikakati ya ujifunzaji ya kuepukana na athari za mwingiliano wa vipashio vya lugha asili katika matumizi ya Kiswahili sanifu

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Abudonia, R. A. (2014). The Syntax of Luganda Adjectives: Katika Egyptian Journal of Linguistics and Translation, 1(1), 35–44.

Abdallah, S. S. (2018). Uwiano na Utofauti wa Kiisimu Kati ya Kiswahili cha Paje na Makunduchi (Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu Huria, Tanzania).

Baertlein, E na Ssekitto, M. (2014) "Luganda Nouns: Inflectional Morphology and Tests," Linguistic Portfolios: Vol. 3, Article 3.

Balagadde, R. S. (2016). The Structured Compact Tag-Set for Luganda. International Journal on Natural Language Computing (IJNLC) Vol, 5.

Barno, C . (2013). Muundo wa Kimofo-sintaksia wa Kitenzi cha Kinandi kwa Mtazamo wa Kiunzi cha Kanuni Finyu. Nordic Journal of African Studies 22(4): 213-235., 4(22), 213-235.

Besha, R. M. (1994). Utangulizi wa Lugha na Isimu. Macmillan Aidan Ltd.

Chepkwony, L. C. (2012).

Chesswas, J., D (1967). The Essentials of Luganda. Oxford University Press, UK.

Chipeta, D 2016. The analysis of Kisukuma determiner in its sentential aspect. Iringa: Ruaha Catholic University (MA dissertation).

Chomi, E. (2013) Kitangulizi cha Mofolojia ya Kiswahili. Dar es Salaam; Taasisi ya Taaluma za Kiswahili.

Chomsky, N. (1981). Lectures on government and binding. Dordrecht: Foris.-. 1986. Knowledge of language: Its nature, origin, and use. New York: Praeger..(1993)" A Minimalist Program for Linguistic Theory". Kenneth Hale and Samuel J. Keyser, Eds. The View from Building, 20, 1–52.

Dixon, R. M. W. (2010). Where have all the adjectives gone?: and other essays in semantics and syntax (Vol. 107). Walter de Gruyter.

Egara, M. B. (2016). Mofosintaksia ya Yambwa katika Kishazi cha Kiswahili (Tasnifu ya uzamili Chuo Kikuu cha Kenyatta, Kenya).

Faki Juma, B. I. K. O. M. B. O. (2019). Kirai nomino katika kipemba: uchanganuzi wa kimuundo (doctoral dissertation, suza).

Ferrari-Bridgers, F. (2008). A unified syntactic analysis of Italian and Luganda nouns. The Bantu-Romance Connection, 239-258.

Gibson, H., & Guérois, R. (2019). Variation in Bantu copula. The grammar of copulas across languages, 73, 213.

Gromova, N. V. (2008). Maswali Machache ya Usanifishaji wa Kiswahili (Jingine au Lingine?). In Swahili Forum (15), 115-120.

Habwe, J. na Karanja, P. (2004). Misingi ya sarufi ya Kiswahili. Phoenix Publishers Ltd.

Hyman, L. M., na Katamba, F. X. (2001). November, 2001 The Word in Luganda Larry M. Hyman. Word Journal Of The International Linguistic Association, (L)

Iori, I. (2015). What can the Research on Japanese Anaphoric Demonstratives Contribute to General Linguistics? Hitotsubashi University.

Jerro, K. (2018). Linguistic complexity : A case study from Swahili. African linguistics on the prairie, 3(2), 3–19. https://doi.org/10.5281/zenodo.1251708

Katamba, F., & Stonham, J. (2006). Morphology. NY.

Katamba, F. (2003). Nominal Morphology. In Derek Nurse, Gérard Philippson (eds.) The Bantu languages, Routledge., 103–120.

Katamba, F. (2003). Bantu nominal morphology. The Bantu languages, 103, 120.

Kemuma, W. (2022). Kubainisha Kanuni na Sheria Zinazotawala Muundo wa Maneno katika Sentensi Sahili ya Ekegusii. Editon Consortium Journal of Kiswahili, 4(1), 374-398.

Kitsao, R (2015). Uchanganuzi wa makosa ya kisarufi katika insha za Wanafunzi wa shule za msingi na yanavyochangia Matokeo mabaya ya mitihani, kata ya ganze , kaunti Ya kilifi, Kenya. Tasnifu ya Uzamili ya Chuo Kikuu cha Pwani.

Kiyinikibi, N. D. (2021). The locative in Luganda: a syntax-interfaces approach (Doctoral dissertation, Stellenbosch: Stellenbosch University).

Kisakwah, B. A. (2014a). Uchanganuzi Makosa na Muundo Sentensi: Ulinganisho wa Sentensi Sahili za Kiswahili sanifu na za Kisuba. Chuo Kikuu cha Nairobi.

Koech, L. C. (2013). Sintaksia ya kijalizo cha Kiswahili Sanifu: mtazamo wa x-baa (Doctoral dissertation, University of Nairobi,).

Leah, S na Sseguya, F.N. (2015). A Luganda grammar. Yiga Olu-ganda. http://learn-luganda.com.

Lewis, M. P. (2009). Ethnologue: Languages of the world. SIL international.

Lusekelo, A. (2009). The structure of the Nyakyusa noun phrase.

Lusekelo, A. (2017). The Swahili noun phrase in its Sentential: Katika Mkwawa Journal of Education and Development, Juzuu 1, Issue 1,

Mulei, M., Ambuyo, B., na Nanyama, D. (2021). Mwingiliano wa Kanuni za Kimofosintaksia wa Ngeli Nomino za Luganda Katika Matumizi ya Kiswahili Sanifu. Jarida la idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za kiafrika Chuo Kikuu cha Moi, Kenya.

Massamba, D. P. B, Kihore, Y. M., na Hokororo, J. I. (1999). Sarufi Miundo ya Kiswahili (SAMIKISA). Sekondari na Vyuo. TUKI.

Massamba, D. P. B, Kihore, Y. M., na Hokororo, J. I.(2012). Misingi ya Fonolojia. Dar es Salaam: TATAKI.

Massamba, D. P. B. (2004). Kamusi ya isimu na falsafa ya lugha. Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Massamba, D. P. B. (2007). Kiswahili origins and the Bantu divergence-convergence theory (No. 48). Institute of Kiswahili Research, University of Dar es Salaam.

Mbaabu, I (1992): Sarufi ya Kiswahili: Longman Kenya

Mbwillow, S. N. (2017). Muundo wa Vitenzi, Vivumishi, Vibainishi, Numerali/Namba na Vielezi katika Kiswahili, 1–26.

Mgullu, R. (1999). Mtalaa wa Isimu.Fonetiki, Fonolojia na Mofolojia ya Kiswahili. Longhorn Publishers Ltd, Kenya.

Mwihaki, A. (2007). Minimalist approach to Kiswahili syntax. Kiswahili, 70, 17-40.

Mulei, M. (2014). Uchanganuzi wa Athari za Kigisu katika Lugha ya Mazungumzokwa Kiswahili, Miongoni mwa Wanafunzi wa Shule za Upili: Mfano wa Wilaya ya Mbale, Nchini Uganda. Chuo Kikuu cha Uislamu, Uganda.

Ndomba, R. (2006). Samatengo noun phrase structure. Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania

Nicolle, S. (2007). Metarepresentational demonstratives in Digo. Interpreting utterances: Pragmatics and its interfaces. Oslo: Novus, 127-146.

Nyanda, J. (2015). Athari za Lugha ya Kinyamwezi Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili. The Open University Of Tanzania.

Obara, J. M. (2014). Uchanganuzi wa Makosa Yanayofanywa na Wanafunzi Wazungumzaji wa Lugha ya Ekegusii. Tasnifu ya Uzamili ya Chuo Kikuu cha Nairobi.

Oduor, C., Inyani, K. S., na Kobia, M. J. (2017). Athari za uhamishaji wa sarufi ya Kiluo kwenye upatanisho wa sarufi ya Kiswahili. Kiswahili, 76(1).

Oichoe, M. P. (2005). Ulinganishi wa kirai tenzi cha Kiswahili na Ekegusii kimofosintaksia: mtazamo wa uminimalisti. Tasnifu ya Uzamili-Haijachapishwa, Chuo Kikuu cha Nairobi.

Onyango, V. O. (2018). Daftari la Isimujamii Kwa Shule za Upili na Vyuo. (A. B. P. Limited, Ed.) (Tolea la k). Kenya: Susmo Enterprises.

Philipo, Z. T. (2017). Tofauti Baina ya Vivumishi na Viambishi katika Lugha ya Kiswahili. Kioo cha Lugha, 13(1).

Radford, A. (1997). Syntactic theory and the structure of English: A minimalist approach. Cambridge University Press.

Rijkhoff, J. N. M. (1986). Word order universals revisited: The principle of head proximity. Belgian Journal of Linguistics 1. 95-125.

Rizzi, L. (1997). The fine structure of the left periphery. In Elements of grammar (pp. 281-337). Springer, Dordrecht.

Rugemalira, J. M. (2007). The structure of the Bantu noun phrase.

Van de Velde, M. (2005). The order of noun and demonstrative in Bantu. Studies in African comparative linguistics with special focus on Bantu and Mande, 425-441.

Tarehe ya Uchapishaji
8 May, 2023
Jinsi ya Kunukuu
Mulei, M. (2023). Uhakiki Linganishi wa Kanuni za Mifanyiko ya Vivumishi vya Luganda na Kiswahili Sanifu. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 6(1), 132-153. https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1206