Tathmini ya Mchango wa Tafsiri Katika Maendeleo ya Fasihi Linganishi

  • Hadija Jilala The Open University of Tanzania
Keywords: Tafsiri, Fasihi Linganishi, Tathmini, Maendeleo
Share Article:

Abstract

Makala hii inatathmini mchango wa tafsiri katika maendeleo ya fasihi linganishi. Tafsiri ni daraja la mawasiliano na utangamano wa jamii zinazozungumza lugha tofauti na zenye tamaduni tofauti. Tangu awali, kazi za fasihi za lugha mbalimbali zilitafsiriwa kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine. Kupitia tafsiri hizo, jamii mbalimbali ulimwenguni hupata maarifa na ufahamu kuhusu maisha, tamaduni, lugha na fasihi ya jamii nyingine. Kutokana na uhalisia huo makala hii inalidurusu suala la tafsiri na fasihi linganishi kwa kutathmini mchango wa tafsiri katika maendeleo ya fasihi linganishi. Lengo la makala hii ni kutathmini mchango wa tafsiri katika maendeleo ya fasihi linganishi ya Kiswahili. Makala hii inajadili umuhimu wa tafsiri katika kufanikisha ulinganishaji wa kazi za fasihi na pia inajadili matatizo ya tafsiri katika fasihi linganishi. Utafiti huu ni wa maktabani ambapo data za makala zake zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya usomaji makini. Aidha, nadharia ya hii imetumia nadharia ya ulinganifu wa kidhima katika kujadili na kufafanua data na matokeo ya utafiti huu. Matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa kuwa tafsiri ina mchango mkubwa katika maendeleo ya fasihi linganishi kwa sababu ni vigumu kuliganisha fasihi ya lugha ya jamii fulani bila kuitafsiri. Hivyo, tafsiri ni nyenzo na msingi madhubuti wa kuelewa fasihi za jamii nyingine na pia ni daraja muhimu la ufahamu na utambuzi wa kufanana, kuhusiana na kutofautiana kwa fasihi za lugha na tamaduni mbalimbali duniani

Downloads

Download data is not yet available.

References

Aiello, F. T. (2005). Translating a Swahili Novel into ’Kizungu’. Swahili Forum 12. pgs. 99-107

Damrosch, D. (2020). Comparing the Literatures. Princeton, NJ: Princeton University Press.

Bassnett, S. (1993). Comparative Literature: A Critical Introduction, Oxford UK & Cambridge USA: Blackwell.

Bassnett, S., ed. (2018). Translation and World Literature. New York: Routledge.

Baaqeel, N. (2018). Would Comparative Literature be replaced by Translation Studies? Annals of Language and Literature, 2(4), pp. 18-25.

Bitek, O.P. (1966). Song of Lawino. Nairobi: East African Educational Publishers Limited.

Carlos, G. (2012). Towards A New and More Constructive Partnership: The Changing Role of Translation in Comparative Literature. Tee Fu Jen Studies, vol. 45

Catford, J.C. (1965). A Linguistic Theory of Translation. London: Oxford University.

Constantinescu, M. C. (2017). The Role of Translation in Comparative Literature: Conjectures and Solutions. Finnish Journal for Romanian Studies. No. 3. 12-23.

Huanga, Q., and Valdeóna R. A. (2022). Perspectives on translation and world literature. PERSPECTIVES. 30 (6), 899– 910 https://doi.org/10.1080/0907676X.2022.2132062

Jahan, F. (2023). Comparative Literature and Translation Studies: Approaching an Understanding Between the Two. International Journal of Social Science and Human Research, 6 (3),1582-1588.

Jilala, H. (2014 b). Athari za Kiutamaduni katika Tafsiri: Mifano kutoka Matini za Kitalii katika Makumbusho za Tanzania. Tasnifu ya Uzamivu (haijachapishwa). Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Jilala, H. (2014 a). Matatizo ya Tafsiri katika Matini za Kitalii Nchini Tanzania. Katika Omari S na Peterson (wah.). Kioo cha Lugha. Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili. Juz. No.12 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. kur. 27-47.

Jilala, H. (2016). Misingi ya Fasihi Linganishi: Nadharia, Mbinu na Matumizi. TUKI & Daud Publishing Company LTD.

Jilala. H. (2023). Mchango wa Tafsiri za J.K. Nyerere katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili. Jarida la Mwanga wa Lugha. 8 (1) .75-88.

Nyerere, J.K. (1969). Mabepari wa Venisi. Dar es Salaam, OUP.

Kelly, L.G (1979), The True Interpreter: A History of Translation, Theory and Practice In the West, Bristol: Basil Blackwell.

Knappert, J (1979), Four Centuries of Swahili Verse, London: Leiden.

Li, X. A. (2022). Translation and comparative literature. In K. Malmkjaer (Ed.), The Cambridge Handbook of Translation (pp. 217–237). Cambridge University Press.

Lun, W. (2018). The Essence of Literary Translation in Comparative Literature. Advances in Social Science, Education and Humanities Research, volume 250, 391-394

Ma Xiaolu (2024). Cultural Brokerage: Japan as an Intermediary in the Journey of Russian

Literature to China. Modern Language Association of America. Cambridge University Press. 139 (2), 267-281.

Malangwa, P.S. (2014). “Challenges of Translating Cultural Expressions in Teaching Kiswahili to Foreigners” katika Kiswahili, Dar es Salaam, TUKI, juz. 771 104-117.

Malmkjær, K. (2020). Translation and Creativity. London: Routledge.

Mehrpouyan, A and Zakeri, E. (2021). The Impact of Cultural and Translational Studies on

Modern Comparative Literature Studies. International Journal of Linguistics, Literature and Translation.

Munday, J. (2016). Translation Theory: Introducing Translation Studies: Theories and Applications. 4th ed. New York, NY: Routledge.

Momanyi. C. (2017). Tafsiri za Fasihi ya Kiswahili na Mchakato wa Utandawazi. Mulika. 32.

Mtesigwa, P.C.K. (1996). “Kitabu cha Wimbo wa Lawino kama Tafsiri na kama Tafsiri ya Ushairi”, katika Mwansoko, H.J.M. Kitangulizi cha Tafsiri: Nadharia na Mbinu, Dar es Salaam, TUKI: 84-96.

Mwansoko, H.J.M. (1996). Kitangulizi cha Tafsiri: Nadharia na Mbinu, Dar es Salaam: TUKI.

Mwansoko, H.J.M (2016). “Dhana, Dhima na Historia ya Tafsiri” katika Jilala, H (mh.). Nadharia za Tafsiri, Ukalimani na Uundaji wa Istilahi. Daud Publishing Company Ltd. Kur. 2-17

Newmark. P. (1988). A Textbook of Translation. London, Prentince Hall.

Nord, C. (2005). Text Analysis in Translation: Theory, Methodology and Didactic Application of A Model for Translation-Oriented Text Analysis. (toleo la 2). New Jersey: Rodopi B.V. Amsterdam-New York.

Nyerere, J.K. (1963). Juliasi Kaizari, Nairobi, OUP.

Nyerere, J.K. (1969). Mabepari wa Venisi, Dar es Salaam, OUP.

Pembe, H. (2010). The Challenges of Translating Poetic Text: The Case of Paul Sozigwa’s Wimbo wa Lawino, Tasnifu ya Shahada ya Umahiri ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Haijachapishwa).

Ponera, A. S. (2014). Utangulizi wa Nadharia ya Fasihi Linganishi. Karjamer Printing Technology, Dar es Salaam.

Reynolds, M., ed. (2020). Prismatic Translation. Cambridge: Legenda.

Ruhumbika, G. (1983). “Tafsiri za Kigeni katika Ukuzaji wa Fasihi ya Kiswahili” katika Makala za Semina ya Kimataifa ya Waandishi wa Kiswahili. Dar es Salaam: TUKI, kur. 253- 266.

Scott, C. (2018). The Work of Literary Translation. Cambridge: Cambridge University Press.

Sozigwa, P. (1975). Wimbo wa Lawino. Dar es Salaam: East Africa Publishing House.

Wamitila, K.W. (2003). Kamusi ya Fasihi Istilahi na Nadharia. Focus Publication Ltd.

Warwal, S. S. (2018). Role of Translation in Comparative Literature. Translation today. 40-60.

Wellek, R. (1988). "The Crisis in Comparative Literature." Concepts of Criticism. Ed. Stephen G. Nichols, Jr. New Haven: Yale UP. 282-95.

Wellek, R. & Warren, A. (1996). Theory of Literature. New York: Brace and Company.

Zhukov, A. (1998). Shaaban Robert in the Russian Language. Swahili Forum 5. Pgs. 185-189

Published
29 January, 2025
How to Cite
Jilala, H. (2025). Tathmini ya Mchango wa Tafsiri Katika Maendeleo ya Fasihi Linganishi. East African Journal of Arts and Social Sciences, 8(1), 128-144. https://doi.org/10.37284/eajass.8.1.2652