Mafunzo Yanayotawala Ushairi Andishi wa Kiswahili wa Kipindi cha Utandawazi: Mifano Kutoka Diwani ya Kimya! (2020) ya Rehema N. Mbwambo

  • Furaha J Masatu Mwenge Catholic University
  • Venancia F Hyera Mwenge Catholic University
  • Osmunda R Ndunguru Mwenge Catholic University
  • Aneth K Ponera Mwenge Catholic University
Keywords: Mafunzo, Uhistoria Mpya, Uhakiki wa Kifasihi, Diwani ya Kimya!, Rehema N. Mbwambo
Sambaza Makala:

Ikisiri

Makala yanawasilisha sehemu ya uchunguzi uliolenga kubaini na kufafanua mafunzo yanayopatikana katika Ushairi Andishi wa Kiswahili wa kipindi hiki cha utandawazi kwa kuangazia diwani ya Kimya! (2020) ya Rehema N. Mbwambo. Uchunguzi huu umeongozwa na nadharia ya uhakiki wa kazi za fasihi ijulikanayo kama Uhistoria Mpya. Huu ni msingi mpya wa kihakiki ambao haujatumika sana katika kuhakiki kazi za kifasihi. Uhakiki unaoongozwa na nadharia hii ya Uhistoria Mpya, humsaidia mwanafunzi kujenga uwezo na maarifa ya kutambua sababu, uzito, malengo na aina ya uhakiki uliofanyika. Kwa kuzingatia ukweli huu, uchambuzi wa kipindi hiki cha utandawazi ni lazima uanze kuwazoesha watunzi, walimu na wanafunzi kujikita katika utunzi na uchambuzi wa kazi za kifasihi kwa kutumia nadharia teule badala ya kutunga na, au kuhakiki kazi kimkururo yaani, utunzi au uhakiki jumuishi usiokuwa na dira mahususi kama sehemu muhimu ya kwenda na wakati. Matumizi ya nadharia teule ya uhakiki yanatusaidia kujua iwapo kazi bunilizi za fasihi zinazoingia sokoni zinaakisi mahitaji ya jamii ya wasomaji wa sasa ama la. Kwa sababu, kumekuwapo madai ya kwamba, ari ya usomaji wa kazi bunilizi za Kiswahili inazidi kushuka miongoni mwa walaji wa kazi bunilizi za Kiswahili hasa nchini Tanzania huku moja ya sababu zinazotajwa ni baadhi ya watunzi na wahakiki kukosa weledi, ubunifu, ubora na kushindwa kuisoma jamii inataka nini. Hofu yetu ni kuwa, kama kweli wasomaji wanazidi kupoteza hamu ya kupenda kusoma kazi bunilizi za Kiswahili kwa sababu kadhaa ikiwemo ubunifu na saikolojia, maana yake kwa siku za usoni, pale ambapo watunzi nguli watakapokuwa wametoweka katika uso wa dunia, fasihi ya Kiswahili nayo itakuwa imeanguka kisanaa na kibiashara. Ndiposa, tukaonelea tufanye uchunguzi katika diwani mpya iliyoandikwa na mwandishi chipukizi kwa lengo la kuona iwapo nayo ni sehemu ya kazi bunilizi za Kiswahili zinazochangia anguko la ukuaji na ustawi wa Fasihi ya Kiswahili ama la.

Upakuaji

Bado hatuna takwimu za upakuaji.

Marejeleo

Ally, B., na wenzake. (Wah.). Miongozo miwili kupaa na kutunguliwa kwa Azimio la Arusha. Chuo Kikuu cha Dar es salaam: Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere.

Amri, K. A. (1954). Sheria za Kutunga Mashairi na Diwani ya Amri. Nairobi: East African Literature Bureau.

Arowolo, D. (2010). Effects of Western Civilisation and Culture on Africa. Katika Afro-Asian Journal of Social Sciences, Vol. 1, No. 1, Quarter IV. https://www.researchgate.net/publication/266252078_The_effects_of_western_civilisation_and_culture_on_Africa.

Butler, M. (1987). Repossessing the Past: The case for an Open Literary History. Cambridge: Cambridge University Press.

Davis, R. na Schleifer, R. (1986). Contemporary Criticism, Literary and Cultural Studies. London: Longman.

Economic and Social Research Foundation. (2018). Muhtasari Tanzania Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2017: Sera ya Kijamii Katika Muktadha wa Mageuzi ya Kiuchumi. http://www.esrf.or.tz/docs/thdr2017swsummary.pdf.

Else-Quest, N. M. na Hyde, J. S. (2017). The Psychology of Women and Gender: Half the Human Experience (Ninth Edition). Thousand Oaks: Sage Publishing.

Faqihi, M. (1979). Utenzi wa RASI ‘LGHULI (Chapa ya Pili). Dar es salaam: Tanzania Publishing House Ltd.

Gravningen, K. na wenzake. (2017). Reported Reasons for Breakdown of Marriage and Cohabitation in Britain: Findings from the Third National Survey of Sexual Attitudes and Lifestyle (Natsal-3). PLoS ONE 12 (3):e0174129. https://doi.org/10.1371/journal.pone. 0174129.

Gromov, M. D. (2014). The Present State of Swahili Literature as an Artistic and Social Phenomenon. Katika Journal of Language, Technology & Entrepreneurship in Africa, (Vol. 5, No. 1). http://www.ajol.info/index.php/jolte/article/viewFile/104802/94837.

Gundara, J. S. (2006). Some Current Intercultural Issues in Multicultural Societies. Katika UNESCO FORUM on Higher Education, Research and Knowledge. www.unesdoc.unesco.org/ark:/48223/pf000015938.

International Organization for Migration. (2019). World Migration Report 2020. https://publications.iom.int/system/files/pdf/wmr_2020.pdf.

Jamaliddini, A. K. (2006). Utenzi wa Vita vya Majimaji. Dar es Salaam: TUKI.

Joseph na Bontrager, G. (2014). Maisha ya Uzima. http://equip4change.org/pdf/swahili/level2/Maisha-ya-Uzima.pdf.

Kane, J. P. M. (2012). A Life Too Short: The Tragedy of Robert Enke. Katika The British Journal of Psychiatry. 10.1192/bjp.bp.111.105155.

Kezilahabi, E. (1974). Kichwamaji. Nairobi: Sitima Printers Stationers Ltd.

Kezilahabi, E. (1988). Karibu Ndani. Dar es Salaam: Dar es Salaam University Press.

Kezilahabi, E. (1988). Rosa Mistika. Dar es Salaam: Dar es Salaam University Press.

Kezilahabi, E. (2007). Dunia Uwanja wa Fujo. Nairobi: Vide~Muwa Publishers Ltd.

LbE. N. 6 Vyama vya Kijamii na Ushiriki wa Kisiasa South Africa: Ushoga. www.dw-world.de/lbe (LbE civil society 06 south Africa homosexuality - dw).

Madumulla, J. S. (2009). Riwaya ya Kiswahili: nadharia, historia na misingi ya uchambuzi. Dar es salaam: Mture Educational Publishers Ltd; Nairobi: Phoenix Publishers Ltd.

Makondeko Group Musica. Kila Munu Avena Kwao III. Arabix.site/ytb/14qwpZ-saRg.html.

Mapangala, S. Dunia Tunapita. mdundo.com/song/1583700.

Mbwambo, R. N. (2020). Kimya!: Kusanyiko la Mashairi. Dar es salaam: Moccony Printing Press.

Mkapa, B. W. (2019). My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers. Dar es Salaam: Mkuki na Nyota Publishers.

Mnyampala, M. (1990). Diwani ya Mnyampala. Dar es Salaam: East African Literature Bureau.

Mohamed, S. A. (1990). Mfumo wa 8 - 4 - 4: Mbinu na Mazoezi ya Ushairi. Nairobi: Evans Brothers (Kenya) Limited.

Msekwa, P. (2013). 50 Years of Independence: A Concise Political History of Tanzania. Dar es salaam: Nyambari Nyangwine Publishers.

Mswahili, A. A. M. na Njonjolo, M. S. (2016). Nje – Ndani. Dar es salaam: Karljamer Karljamer Print Technology.

Mulokozi, M. M. (2017). Taaluma ya Lugha na Fasihi - 2: Utangulizi wa Fasihi ya Kiswahili Kozi za Fasihi Vyuoni na Vyuo Vikuu. Dar es salaam: KAUTTU.

Mulokozi, M. M. (Mh.) (1999). Tenzi Tatu za Kale. Dar es Salaam: TUKI.

Mutiso, K. (2005). Utenzi wa Hamziyya. Dar es Salaam: TUKI.

Nduku, E. na Tenamwenye, J. (Wah.). (2014). Corruption in Africa: A Threat to Justice and Sustainable Peace. Globethics.net Focus 14. Katika https://www.globethics.net/documents/4289936/13403252/GE_Focus_14_web.pdf.

Newton, K. M. (1990). Interpreting the Text: A Critical Introduction to the Theory ami Practice of Literary Interpretation. London: Harvester.

Ngwale, S. na Kironde, J. M. (2000). Urbanizing Tanzania: Issues, Initiatives and Priorities. Dar es Salaam: Dar es Salaam University Press.

Omari, S. (1996). Safari ya Chinga. Dar es salaam: Taasisi ya Taaluma za Kiswahili.

Pamba, S. E. (2012). An Analysis of the Impacts of Structural Adjustment Programmes on Education in Sub – Sahara Africa: A Case Study of Kenya (1980 - 2010). Tasinifu ya Shahada ya Uzamivu (haijachapishwa), Chuo Kikuu cha Nairobi. http://erepository.uonbi.ac.ke/bitstream/handle/11295/8564/pamba_An%20Analysis%20of%20the%20Impact%20of%20Structural%20Adjustment%20Programmes%20on%20Education%2c%20in%20Sub-saharan%20Africa%20a%20Case%20Study%20of.pdf?sequence=1&isAllowed=y.

Robert, S. (1951). Kusadikika. London: Nelson.

Robert, S. (1966). Maisha yangu na Baada ya Miaka Hamsini. Nairobi: Nelson.

Robert, S. (1968). Siku ya Watenzi Wote. Nairobi: Nelson.

Sanchez, V. A. (1973). Art and Society. London: Monthly Review Press.

Senkoro, F. E. M. K. (1987). Fasihi na Jamii. DSM: Kauttu Ltd.

Senkoro, F. E. M. K. (hakuna mwaka). Uhalisiamazingaombwe katika Fasihi ya Kiswahili: Istilahi Mpya, Mtindo Mkongwe. Katika Kioo cha Lugha. https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kcl/article/view/1504.

Senyamanza, C. A. (hakuna mwaka). Misingi ya kazi za kubuni: nadharia, mbinu na mifano ya kazi bunilizi. Dar es salaam: Karljamer Print Technology.

Sharma, A. (2015). The Making of the Third World: The Impact of Colonialism. Katika Research Journal of English Language and Literature. https://www.researchgate.net/publication/281497487_THE_MAKING_OF_THIRD_WORLD_THE_IMPACT_OF_COLONIZATION.

Sudi, A. A. (1993). Diwani ya Ustadh. Peramiho: Benedictine Publications Ndanda.

Tsang-Feign, C. (2013). Keep Your Life, Family and Career Intact while Living Abroad (Toleo la Tatu). ____________: Pomelo Publishing.

TUKI. (2004). Kamusi ya Kiswahili Sanifu (toleo la pili). Nairobi: Oxford University Press.

Tumerithi Tuwarithishe. (2016). Misitu, Utawala bora na Maendeleo ya Taifa: Kutafakari tena Mapendekezo ya Kuboresha Utawala wa Misitu nchini Tanzania Yaliyotolewa na Shirika la TRAFFIC kwenye Ripoti ya Mwaka 2007. https://www.tnrf.org/files/mmc_policy_brief_swahili_0. UNESCO. (1978). What Kind of World Are We Leaving Our Children?: World Tribune. https://unesdoc.unesco.org/ark:/48223/pf0000218361www.unesdoc.unesco.org/ark:/48223/pf000021836.

UNESCO. (1987). Report of World Commission on Environment and Development: Our Common Future. https://sustainabledevelopment.un.org/content/documents/5987our-common-future.pdfKatika https://sustainabledevelopment.un.org.

UNESCO. (2009). UNESCO World Report: Investing in Cultural Diversity and Intercultural Dialogue. Paris: UNESCO.

United Nations Economic Commission for Africa. (2016). Measuring corruption in Africa: the international dimension matters. https://www.uneca.org/sites/default/files/PublicationFiles/agr4_eng_fin_web_11april.pdf.

Vyama vya Biblia Tanzania na Kenya. (2001). Biblia: Habari Njema kwa Watu Wote Yenye Vitabu vya Deuterokanoni (Toleo la Pili). Dodoma; Nairobi: The Bible Society of Tanzania/Kenya.

Wamitila, K. W. (2003). Kamusi ya Fasihi: istilahi na nadharia. Nairobi: Focus Publications Ltd.

Wamitila, K. W. (2008). Kanzi ya Fasihi 1: misingi ya uchanganuzi wa fasihi. Nairobi: Vide~Muwa Publishers Ltd.

Wanne Star. Asili ya Mwafrika. m.youtube.com/watch?v=AXwQ9Bs0204.

Wanyonyi, M. E. (2003). Ushairi wa Kiswahili: Maendeleo na Mabadiliko ya Maudhui. Tasnifu ya Shahada ya Uzamivu (haijachapishwa), Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Wazambi, F. na Mikongoti, P. (2018). Muhtasari wa Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2017: Tanzania Bara. Dares salaam: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. https://humanrights.or.tz/assets/images/upload/files/THRR%202017%20Swahili%20Booklet%20(1).pdf.

Tarehe ya Uchapishaji
31 August, 2020
Jinsi ya Kunukuu
Masatu, F., Hyera, V., Ndunguru, O., & Ponera, A. (2020). Mafunzo Yanayotawala Ushairi Andishi wa Kiswahili wa Kipindi cha Utandawazi: Mifano Kutoka Diwani ya Kimya! (2020) ya Rehema N. Mbwambo. Jarida La Afrika Mashariki La Masomo Ya Kiswahili, 2(2), 100-115. https://doi.org/10.37284/eajss.2.2.199